Putri Ariani (binti mwenye kipaji cha dhahabu)

Putri Ariani (binti mwenye kipaji cha dhahabu)

Imole

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2021
Posts
1,546
Reaction score
4,326
Anaitwa Putri ariani kutoka indonesia bint mwenye kipaji kikubwa sana licha ya kuwa na ulemavu wa macho (totaly blind) na anatazamiwa kuja kuwa msanii mkubwa sana duniani hapo mbeleni kidogo.

Ukimsikiliza anavyoimba unaona kabisa huyu ni level za whitney houston na celine dion. Ukiachana na kipaji cha kuimba pia ana uwezo wa kuimba kwa ufasaha wa 100% lugha tofauti kama indian, arabic, english n.k na anatumia ala nyingi za muziki kama piano, guitar na violin.

Kwa umri wake wa miaka 17 tu tayari ana nyimbo zilizohit worldwide kama lonliness, perfect liar na who iam akishirikishwa na alan walker.

Mara ya kwanza kumfahamu ni baada ya kushiriki American got Talent mwaka 2023 hakika alifanya maajabu makubwa sana na alikuwa miongoni mwa washiriki wachache waliowahi kupata golden buzzer kutoka kwa judge mgumu simon cowell. First time baada ya kuimba nyimbo ya kwanza jaji akaamua kukimbilia jukwaani na kumuomba awaimbie nyimbo nyingine alibadilisha maana ya got talent na kuwa concert[emoji23].

Hapa chini naweka baadhi ya audios ya nyimbo zake pia link ya baadhi ya videos zake.

Hii hapa ni kwenye american got talent

View: https://youtu.be/9oQFnwc2k_Y?si=Xx-ljkDc5dcoELQl

Hii hapa video ya youtube aliimba kabhi ghush kabhi gham nyimbo ya kihindi.https://youtu.be/BY7Poyx4YuQ?si=HDeUge3Qignk_ZBG

Hii aliimba the power of love ya celine dion kwenye concert
View: https://youtu.be/QaoOH8cXqZE?si=k9gVG869k_W1vhBm

Hii aliimba alan walker inaitwa who iam

View: https://youtu.be/ccu6JuC21rk?si=ZP30P7ACS7eXM5sm

2b7a376465f91b46ccc06502633d48a5.jpg
940399016f2d500daf1cad1d8780dbad.jpg
 
Hizi ni baadhi ya audio zake take time kumsikiliza utaamini maneno yangu
 

Attachments

She got a bright future regardless ya ulemavu wake. ❤️
 
For real for sure
 
Back
Top Bottom