Bangi inasingiziwa vitu vya kifala sana wakati ni mmea mtakatifuKuna kipindi huwa natafakari! Ni kama asilimia kubwa ya waendesha bodaboda huenda wanavuta bhangi kidogo.
Sioni kosa la madereva wa Mwendokasi.Kwa hili kabisa unaona kama mwenye bodaboda alitoka kule kwa kasi bila hata kufunga breki kuangalia pande zote,lakini akaona ni kupita tu.-hawa madereva wa mwendokasi wanahitaji busara na utu sana wakiwa city center
-hawa bodaboda nao wanafamilia wanapigania mkate viongozi wetu wakuweka sawa haya mambo wao full ac huko
-miundombinu yetu sio ya kueleweka sisi tuliobadilisha vichochoro kua barabara tunatesana tu
-ila nchi hii laana tu yani kama tumeshindwa kuweka vizuizi kwenye railway itakua mwendokasi mbona kama najitesa kutoa ushauri mlaaniwe wenye mamlaka pateni utajiri lakini mlaaniwe kuku nyie
MADEREVA WA MWENDOKASI ACHENI UHURU KUJIONA MKO NDANI YA TRENI MIUNDOMBINU YETU INAINGILIANA SANA BILA VIZUIZI VYOVYOTE SERIKALI ACHENI KULALA KUNGEKUA NA KIZUIZI PALE TENA CHA GATE BODABODA ANGESIMAMA MNANUNUA MAGARI YA KIFAHARI TU NYAU NYIE
-NAAMINI KUIBADILISHA NCHI HII KAMWE USITEGEMEE CHAMA CHOCHOTE CHA SIASA NI LAZIMA ITOKE NDANI YA MTU MMOJA AJITOLEE MAISHA YAKE KWAAJILI YA NCHI HAWA MAFISADI HAWA KUPITIA VYAMA HAMNA KITU
Boda boda muogopeni Mungu aisee
Nikadhani utasema boda zipigwe stop maana ndizo zinazomaliza watu.Haya mabasi ya mwendokasi yatatumaliza watanzania au ndiyo kafara za wachina
Jamani me napendekeza huu mladi ustopishwe tutumie Daladala pekee
Huyo Boda kazingua, huwezi kwenda moja kwa moja penye kona kwa speed. Alitakiwa apunguze aone kama kuna usalama ndio apite yeye hajapunguza hata kama alikuwa makini.Kwa scenario kama ya hiyo ajali unadhani abiria na dereva wake hawakua wanaangalia hali ya usalama??
Ajali mara nyingi huwa haionekani ni vuup chuma iko down watu mshafikia tamati ya maisha yenu.
Sasa wewe hiyo kusubiri uone hatari ndo umstue na ukimstua na yeye akubali au akate huo ushauri wao si tayari mko mochwari
Hajaelewa. ..bodaboda ndio shidaUmeangalia video na kuielewa mkuu
Unachojaribu kukitetea hakileti mantiki hata kidogo, ndio maana kuna sheria za barabaranibosi nani kamalaumu dereva wa mwendokasi nimesema watumie busara na utu, sababu hii miundombinu ya treni za mataili ina mapungufu usiiishie kumsema bodaboda utakuta huyo boda siku nzima anafanya kazi akili inachoka msiishie kuwalaumu hawa watu ni ndugu zetu wametoka kwenye familia zetu eti pombe, nani hanywi pombe madaktari au kwani hawafanyi upasuaji.
Kuna ile lawama wanatoaga watu kwa abiria "kwanini anakubali" "kwanini akumwambia asipite" watu wanasemaga hivyo hua hawana Common SenseKwa scenario kama ya hiyo ajali unadhani abiria na dereva wake hawakua wanaangalia hali ya usalama??
Ajali mara nyingi huwa haionekani ni vuup chuma iko down watu mshafikia tamati ya maisha yenu.
Sasa wewe hiyo kusubiri uone hatari ndo umstue na ukimstua na yeye akubali au akate huo ushauri wao si tayari mko mochwari
Walikufa!??Wamefuka pale pale maskiniiiii😕😕😕
Alikufa!!?Nadhani abiria chances za kupona zilikuepo kwa kama 5%
Junction huwezi kukatiza na speed ya namna hyo..hata kama angenusurika angeweza kukumba hata boda mwenzake. God have mercy on us
Alikufa!!?
Lema aliposema watu wakapiga makeleleMungu anisamehe kwa mitizamo yangu na kutokuijua kwangu kesho ila Kila nkiona abiria na boda boda wake naona ni kama watu flan hawana akili wote
Basi la mwendokasi halina kosa maana liko kwenye njia yake maalum.Haya mabasi ya mwendokasi yatatumaliza watanzania au ndiyo kafara za wachina
Jamani me napendekeza huu mladi ustopishwe tutumie Daladala pekee
Hao Wahindi wakishika Pikipiki zile za milioni 20 barabara yoote inakuwa yao.