Video: Angalia Bodaboda alivyogongwa na Mwendokasi

Kwenye sekta ya udereva kuna ktu kinaitwa "UDEREVA WA KUJIHAMI"....ukiangalia kwa makini apo kuna watu wawili walikuwa wanajiandaa kuvuka wakisubiri mwendokasi kwanza ipite......

Sema sku ikifika imefika
 
Usiseme hivyo mkuu kuna emergency ...
Mfano mimi nimejenga mpiji magohe kuna muda huwa barbara ni mbovu huwezi toka na mkweche wako au panda daladala option unayobaki nayo ni bajaj or bodaboda
Kufika mbezi kwa uhakika ni Boda tu hapo unakwepaje?
Sasa mkuu Mimi nikipata free time naendaga sana Mpiji Magohe na Ile road naijua vzr, Ile road sio ya kupanda boda boda tena kipindi hiki cha mvua option pekee ni dala dala
 
bosi nani kamalaumu dereva wa mwendokasi nimesema watumie busara na utu, sababu hii miundombinu ya treni za mataili ina mapungufu usiiishie kumsema bodaboda utakuta huyo boda siku nzima anafanya kazi akili inachoka msiishie kuwalaumu hawa watu ni ndugu zetu wametoka kwenye familia zetu eti pombe, nani hanywi pombe madaktari au kwani hawafanyi upasuaji.
Wewe bodaboda tuliza mshono! Mjirekebishe Kuna siku navuka barabara libodaboda jenzako linakuja upande mwingine nusu nikizabe kofi
 

Attachments

  • FB_IMG_1711899724152.jpg
    FB_IMG_1711899724152.jpg
    40.1 KB · Views: 3
Magufuli alifika wapi pamoja na kujitolea maisha yake kwa ajili ya nchi hii? 😳
alijenga stendi nchi nzima stendi za hadhi ya kimataifa, alijenga masoko nchi nzima masoko ya kimataifa, alianzisha ujenzi wa sgr alianzisha ujenzi wa bwawa na mwalimu nyerere, alikua anatukumbusha watanzania tuchape kazi kila akitoa hotuba, hivyo vitu nilivokutajia vilikuepo kipindi cha mkapa au kikwete, au wewe ulikua unaipenda stendi ya ubungo pachafu kama banda la bata sijui mbuzi, mama amefanya nini mpaka sasa taja kimoja tu.
 
Sioni kosa la madereva wa Mwendokasi.Kwa hili kabisa unaona kama mwenye bodaboda alitoka kule kwa kasi bila hata kufunga breki kuangalia pande zote,lakini akaona ni kupita tu.
hujaona kosa la dereva wa mwendokasi hata mimi sijaona kosa la dereva bodaboda hata kama ametangulia mbele ya haki, waliodesign barabara za mwendokasi bila vizuizi vya lazima sehemu kama ile ndio wauaji wenyewe boda boda mnamwonea.
 
Wewe bodaboda tuliza mshono! Mjirekebishe Kuna siku navuka barabara libodaboda jenzako linakuja upande mwingine nusu nikizabe kofi
acha mihemko nani boda boda, acheni kunyosha vidole kama waimba taarabu bodaboda ni wahanga wa ajali sio kwamba wao ndo wavunja sheria sana polisi wanavunja sheria barabarani kupita maelezo, magari ya serikali, daladala
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom