VIDEO: Afariki dunia baada ya kugongwa Na lori lililo beba Ciment

VIDEO: Afariki dunia baada ya kugongwa Na lori lililo beba Ciment

Tukio hili limetokea Asubuhi ya leo majira ya saa 3 katika Barabara ya kutoka kongowe kuelekea Twangoma.
Ambambo lori lilifeli Breki likiwa kwenye mwendo kasi.
View attachment 3651240
View attachment 3651235

View attachment 3651247
View attachment 3651247
Dereva wa Bodaboda alifariki mara tu baada ya ajali, Mpaka muda huu abiria alie panda pikipiki hiyo nae ni majeruhi na yupo hospitali kwa sasa, Nayeye pia hali yake ni tete.!!View attachment 3651244
Dereva wa lori hajulikani wapi alipo hadi sasa.
Shuhudiaga hizi ajari tukiwa kwenye uzima tujiulize tuna jali nini?


Maisha fumbo hakuna anae ijua Leo yake...

Though naishi na ulemavu wangu na maumivu yangu ya ajariii yangu Asante Mungu nipo hai Leo
 
Aj

Ajali ni jambo gumu sana, ila bajaj na boda wengi ni watu wasioheshimu sheria za usalama barabarani kitu ambacho ni hatari kuwa kwa usalama wa matumizi ya barabara.
Unaposema hivyo tambua kwamba sio bodaboda wote wanaopata ajali/kugongwa kwa makusudi na madereva wenye magari makubwa wanakuwa wamevunja sheria
 
📌

Again, road safety in Tanzania = 0

Yani ukiwa barabarani ukiona fujo iliyoko inakera.

Kama serikali haitaki kulinda wananchi watuambie tu kuwa hii nchi haina sheria zozote ili kila mtu ajipambanie.

Ukiwa barabarani unaona zimejaa vurugu tu. Au serikali mnataka kupunguza idadi ya wananchi ndio maana mnaona ajali hizi za kila siku ziendelee tu ?

The lack of care, respect, safeguarding, and enforcement of traffic laws in Tanzania is an absolute disgrace.

Serikali hapo mnafeli kabisa na mmekubali kuendelea kufeli.
 
Dereva wa Bodaboda alifariki mara tu baada ya ajali, Mpaka muda huu abiria alie panda pikipiki hiyo nae ni majeruhi na yupo hospitali kwa sasa, Nayeye pia hali yake ni tete.!!View attachment 3651244
Dereva wa lori hajulikani wapi alipo hadi sasa.
Hao mabwana wala huwa hawaendi mbali.

Unamkuta yupo hapo hapo na nyie mnaoshangaa ajali akiendelea kusikitika na nyie namna madereva wa malori wasivyokuwa na utu.
 
Back
Top Bottom