Vicky Mtetema & Flora Nducha wa BBC Waula!

Katikomile

JF-Expert Member
Jul 12, 2007
471
74
Kuna tetesi kwamba Vicky Mtetema kapata U-country Director wa shirika moja linaloshughulika na haki za Ma-ailbino - Under the Same Sun, lenye makao makuu nchini Canada!

Tetesi zaidi ni kwamba Flora Nducha kapata head office UN- New York kama UN Head of Information and Communication/Swahili.

Kama tetesi hizi ni kweli, bila shaka ni pigo kwa BBC kwani Vicky ndo alikuwa boss wa BBC Tanzania.

Hat hivyo hongereni akina mama mnaipaisha TZ yetu japo ufisadi ushatupaisha zaidi.
 
Tuombe Mungu zisiwe tetesi tu. iwe ni hard news kwani ni faraja kwetu sana
 
Kuna tetesi kwamba Vicky Mtetema kapata U-country Director wa shirika moja linaloshughulika na haki za Ma-ailbino - Under the Same Sun, lenye makao makuu nchini Canada!

Tetesi zaidi ni kwamba Flora Nducha kapata head office UN- New York kama UN Head of Information and Communication/Swahili.

Kama tetesi hizi ni kweli, bila shaka ni pigo kwa BBC kwani Vicky ndo alikuwa boss wa BBC Tanzania.

Hat hivyo hongereni akina mama mnaipaisha TZ yetu japo ufisadi ushatupaisha zaidi.
safi sana!
hongereni sana vicky na flora
 
Flora Nducha alisha-resign hata kazi BBC na anatakiwa kuanza kazi yake Mpya radio ya umoja wa mataifa haraka. Mdada yuko vizuri katika fani, Vicky Mtetema sina uhakika naye pia kama mambo yake safi nampogeza na kumtakia kheri na baraka!! Ni changamoto kwa watangazaji wengine wa kike kujifunza kwao na hatimaye kufikia mafanikio yao..
 
Nakubaliana na wewe Laligeni, kwani nakumbuka Flora alijiendeleza kipindi kile yuko redio One hadi akapata B.A in Sociology na alikuwa ana kipindi kila siku kuanzia saa11, kama hiyo haitoshi alipoenda London akaongeza Masters!
 
...Sijui ni uvivu wa kusoma au wivu binafsi?

Labda haelewi maana ya neno kuula, siunajua wengine wakienda kwenye mabox wanasahau hadi kurudi nyumbani na huku lugha inakuwa kila siku, kuna swahili jargons nyingi zimeongeka.
 
Kuna tetesi kwamba Vicky Mtetema kapata U-country Director wa shirika moja linaloshughulika na haki za Ma-ailbino - Under the Same Sun, lenye makao makuu nchini Canada!

Tetesi zaidi ni kwamba Flora Nducha kapata head office UN- New York kama UN Head of Information and Communication/Swahili.

Kama tetesi hizi ni kweli, bila shaka ni pigo kwa BBC kwani Vicky ndo alikuwa boss wa BBC Tanzania.

Hat hivyo hongereni akina mama mnaipaisha TZ yetu japo ufisadi ushatupaisha zaidi.
We maimatha wa jethe.. umiithikia hiyoooo........ We dida.......we dina.......... we kinyaiya........... we gea habibu........... we suzi..........mngejisikiaje kama tetesi hizi zingekuwa zinawahusu nyie moja kwa moja....??? Badilikeni.......
 
mkuu ukiwa na chombo kinachoheshimika kimataifa unaweza kuwaajiri hao uliowaorodhesha?
 
Flora Nducha kweli kabisa, maana aliaga wasikilizaji wake wa BBC wiki iliyopita, huyu Vicky Ntetema sina uhakika naye. Flora alisoma BA (Political Science) milimani alikuwa nasoma na jamaa mmoja nafikiri alikuwa boyfriend wake anaitwa Deo Mshigeni na walihitimu mwaka kati ya 1997 au 1998, maana kipindi hicho ndiyo siye akina yekhe tunaanza chuo.
 
Kuna tetesi kwamba Vicky Mtetema kapata U-country Director wa shirika moja linaloshughulika na haki za Ma-ailbino - Under the Same Sun, lenye makao makuu nchini Canada!

Tetesi zaidi ni kwamba Flora Nducha kapata head office UN- New York kama UN Head of Information and Communication/Swahili.

Kama tetesi hizi ni kweli, bila shaka ni pigo kwa BBC kwani Vicky ndo alikuwa boss wa BBC Tanzania.

Hat hivyo hongereni akina mama mnaipaisha TZ yetu japo ufisadi ushatupaisha zaidi.

Ni kweli na BBC walimuhoji kwenye amka na BBC yaani wamepaa hasa
 
Upande wa Frola Nducha ni kweli nilisikia anatuaga sisi wasikilizaji wakubwa wa BBC-kiswahili siku moja. Kila la kheri naona na Mr. wako wa Nairobi nae atakula shavu huko huko
 
Nilitegemea uulize kuula maana yake nini!

Mtu alikuwa just a presenter, anaenda kuwa Head tena UN, bado unauliza vumbi stoo Abdulhalim?????????????? Au wivu mkuu? Officemate nini?

Unajua nini eeh?

Mpaka dakika kwanza hujaleta source, I mean authentic source ya thread yako. Yaani hii ni comical thread sop far na nashangaa mods kwa nini bado hawajaiwahisha kule kwenye jokes na utani. Kwa kuzingatia hili basi nadhani si busara kwangu kuendelea kuweka input ktk thread muflisi kama hii.. Endelea kubadilishana mawazo na hawa akina Pape maana inawezekana mpo level moja ya ufahamu.

Wasalaam
 
We maimatha wa jethe.. umiithikia hiyoooo........ We dida.......we dina.......... we kinyaiya........... we gea habibu........... we suzi..........mngejisikiaje kama tetesi hizi zingekuwa zinawahusu nyie moja kwa moja....??? Badilikeni.......
Hawawezi badirika hao kwani hapo walipofikia ndio mwisho wa reli wakipaishwa ngwasuma wanjiona ndio wafalme,pia zile free pass zinawadanganya na pia misifa isio na maana eti wanapopita mitaani wakikopa vi SUV basi hapo lah ndio masupastaa ,wasome wachekwe
 
Back
Top Bottom