Vicky Kamata yupo wapi siku hizi?

Vicky Kamata yupo wapi siku hizi?

Habari ni kwamba yule mwanamama wa wanawake na maendeleo kada maarufu na alishakua mbunge vitu maalum aliendaga wapi nowdays

amefutika kabisa sijamsikia Dodoma wala Geita tokea apatwe na tukio baya la jamaa kukacha harusi sijapata habari zake tena.

Naomba taarifa tafadhali kwa wenye ushahidi wenye mashiko where is the woman.

Karibuni.
Yuko Geita kwenye msiba wa mama yake amabye anazikwa leo..karibu sana kwnenye maziko..
 
nyie acheni kusema uongo hakuwa na uhusiano na mzee wa msoga,huyu dada hajawahi kupata malezi mazuri,amelelewa na bibi yake na wajomba zake,amezaa na wanaume wengi tu,akiwemo rc wa mara ba sasa ni mke wa ndoa wa dr likwelile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama amezaa na wanaume wengi tu, kitu gani kinakufanya usiamini kuwa mzee wa Msoga ni miongoni mwa wanaume waliowahi kuwa na uhusiano naye?[emoji848]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom