Elections 2010 Vicky Kamata kuongea lugha moja na Sugu Mjengoni?

Lakini tujuavyo mwizi akishaiba kinachofuata ni kusheherekea,na waburudishaji wa aina zote lazima wawepo.Kwa hiyo ndio hali,je Vicky ataendelea na siasa baada ya miaka mitano hii kuisha?bungeni ataingia tena na ataingiaje au itabidi abadilishe wa kumburudisha? Sasa ndio tunaona ile sera ya usawa wa kijinsia inavotumika,sidhani kama ndio matarajio ya wengi.
 
Yangu mie macho na masikio. Mfahamu hizo ndio hulka za viongozi wengi wa chama cha mafisadi CCM.

MLA VYA WENZIE NAE HULIWA VYAKWAKE.
 
Inabidi umuombe sugu radhi. Sugu ni mtu makini, mwanaharakati, na mtetezi wa haki. Iweje leo aongee lugha moja na vicky kamata ambaye si mwanaharakati bali ni mtu wa kujipendekeza na kujikomba kwa viongozi? Kumbuka vicky hana tofauti na ephaim kibonde. Pia nafasi ya vicky amepewa zawadi au hongo kama vile wewe unavyotoka safari unamnunulia demu wako ch*pi. Wewe unahonga bikin wenzio wanahonga kodi za walalahoi!!!yangu macho

Kweli kabisa hapa!
 
fani ya kuimba kweli sio mbaya mpaka sasa imeshatoa watu kadhaa kuingia mjengoni
Capt Komba
Kamata
Sugu
..
..
 
attachment.php
 
Back
Top Bottom