Vicky Kamata aula - Kuimba na Lil Bow Wow

Status
Not open for further replies.

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
Habari kamili soma hapa...
attachment.php
 

Attachments

  • IMG-20110607-00058.jpg
    IMG-20110607-00058.jpg
    778.3 KB · Views: 1,451
Mkuu Scanner yako ni ya lenzi mbunuko au mbonyeo??? any way thanx for the info Sijajua ratha yake itakuwaje maana ni sawa na mtu umekula karanga kavu ambazo hazijakaangwa halafu ukaenda kula dagaa (wachache najua mtanielewa)
 
Nakaaya was signed up with Sony and in the end it was a frustrating relationship which never happened!

But all the best Mz Kamata
 
Ataimba naye nini sasa! Kwani huyu sista si anaimbaga ngonjera.
 
mimi siamini km viki kamata ni mwanamuziki. sijaona anachoimba ukifananisha na mtu km jd komando yeye sanasana katumia rasilimaki zake binafsi na si kipaji cha uimbaji
 
LIL BOW WOW IS LIKE QUU CHILLAA THESE DAYS AU MANDOJO NA OMOKAYA.................... HATA WAMPE MIAKA KUMI HAMNA kitu
 
Mkuu Scanner yako ni ya lenzi mbunuko au mbonyeo??? any way thanx for the info Sijajua ratha yake itakuwaje maana ni sawa na mtu umekula karanga kavu ambazo hazijakaangwa halafu ukaenda kula dagaa (wachache najua mtanielewa)
Aya yayaaa karanga na dagaaa duh.
 
Okey, anaza mchezo, Hivi ishu ya Nakaaya na SONY MUSIC iliishiaga wapi??
 
miziki yao haiendani sasaa sijua itakuaje ! sipati picha :becky::becky::becky:
 
mimi siamini km viki kamata ni mwanamuziki. Sijaona anachoimba ukifananisha na mtu km jd komando yeye sanasana katumia rasilimaki zake binafsi na si kipaji cha uimbaji

vick sawa anaimba ila cha kujiuliza anaimba nini, jibu ni anaimba kwaya
kwayo vick si mwanamziki ila ni mwana kwaya
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom