Vicky Kamata aula - Kuimba na Lil Bow Wow

Status
Not open for further replies.
Sasa kazi ya Ubunge ataifanya saa ngapi na muziki saa ngapi?
Manake hizo ni fani mbili tofauti kabisa ambazo haziingiliani hata kidogo..
Labda akaimbe siasa!
 
Nakaaya was signed up with Sony and in the end it was a frustrating relationship which never happened!

But all the best Mz Kamata

Nakaaya amekula nini jamani mbona kawa bonge saaana mpaka kapoteza kabisa shepu. Au ndo mambo ya mchina hayo?
 
Mimi nafikiri tumtakie mafanikio mazuri regardless ya yeye kuwa mwana ccm, maana mwisho wa siku anahesabika kama mtanzania na wala si vinginevyo. Hivyo hata wale wanaombeza pleaaaaaaase mpeni moyo na mwombeeeni
 
AIBU nyingine inakuja baada ya ile ya Boke na Lotus,wawakilishi wetu vibonde,sasa huyu kieleele atatuvua nguo majuu.
 
duuu kamata kuimba na bow wow lool dunia imekwisha...mbona sielewi!!!!sasa wataimba nini..viki sio mwimbaji..ni mwanakwaya ya JK..anyway, Mungu ana miujiza yake labda atageuka mara moja na kuwa mwanamuziki!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom