Vicky Kamata amtungia wimbo mchumba wake

its true pesa si kila kitu kuna muda unaitaji mapenzi ya dhati, peace of mind. Nachotaka kumwambia Vick Kamata kama umeshajaaliwa kupata watoto, au mtoto mtoto tulia utaolewa tu wakati ukifika still young stress za nini, chukua mfano wakina mama Anna Abdallah kaolewa na Pius Msekwa wazee, Anna Killango kaolewa na Malecela juzi juzi tu kula ujana wako achana na hizo shida (wanaume) hizo ni zaidi ya shida tupu.

Pia usijione umekosea au umekosewa sana mshukuru mungu kwa kila jambo mungu anasababu zake, labda amekuepushia mazito kutoka kwake tena aende mwana kwenda ajue ajakufedhehesha sema umemshinda.
 
Kosa lake kutembea na mkuu wa nchi. Katuma watu wake wamemtishia jamaa na kumwambia aingie mitini la sivyo ataozea jela kama akina babu Seya. Ila kwa hapa mkuu wa kaya anafanya vibaya yy anataka amiliki wangapi wakati anae wa ndoa ndani. Hata kama amewapitia hao mabinti imefikia nao wanataka wawe na familia zao. Katika dunia hii hakuna raha kubwa kama uhuru, fedha ni matokeo. Ivyo mabinti na vijana acheni tamaa ya kupenda vya bwerere. Mfano mnayo Vicky Kamata kapewa kila kitu na mkuu wa kaya lakini matokeo yake mmeyaona, mkuu wa kaya amegoma asiolewe eti atamdhalilisha. Hivyo atabaki mama wa kuwa na bwana pasipo kuhalalishwa labda mkuu wa kaya mungu amchukue.
 
baada ya ndoa yake kuharishwa ghafla siku mbili kabla ya harusi, mbunge wa viti maalum(ccm) mh vicky kamata ,,ametoa wimbo wake mpya kuwatumia ujumbe wale wote walioshangalia ndoa yake kuhairishwa

akizungumza na redio clouds, mh vicky amesema kuwa ameamua kutunga wimbo kuwapa ujumbe mabinti wenzake ambao hawajaolewa
akijibu swali la mtangazaji kuhusu mipango yake ya badaye kuhusu ndoa, mh amesema kwa sasa wale waliokuwa wanamipango ya kumchumbia wampe muda kidogo ili alee familie yake na kusimamia foundation yake.

My take:vijana tujitokeze tukamuondolee aibu mh kwani amechanganyikiwa sana,

akome amezoea kudandia waume za watu hata hao watoto wa kwenye familia yake kazaa na mume watu anyway kwenye wimbo huo angesema mume wa mtu ni sumu
 
af naskia mtoto wake anafanana na mkulu kuliko hata akina rizi moko. mkuki kwa nguruwe ye wakati anakolewa na mkulu mpaka akamtia mimba hakujua kua alikua anazini na mme wa watu? mshahara wa dhambi na wala simpi pole ndo akome na uchafu wake mbona unajulikana waziawazi?
 
Kosa lake kutembea na mkuu wa nchi. Katuma watu wake wamemtishia jamaa na kumwambia aingie mitini la sivyo ataozea jela kama akina babu Seya. Ila kwa hapa mkuu wa kaya anafanya vibaya yy anataka amiliki wangapi wakati anae wa ndoa ndani. Hata kama amewapitia hao mabinti imefikia nao wanataka wawe na familia zao. Katika dunia hii hakuna raha kubwa kama uhuru, fedha ni matokeo. Ivyo mabinti na vijana acheni tamaa ya kupenda vya bwerere. Mfano mnayo Vicky Kamata kapewa kila kitu na mkuu wa kaya lakini matokeo yake mmeyaona, mkuu wa kaya amegoma asiolewe eti atamdhalilisha. Hivyo atabaki mama wa kuwa na bwana pasipo kuhalalishwa labda mkuu wa kaya mungu amchukue.

hizi bado ni tuhuma tu mkuu.
 
Mimi si mtaalam wa sheria lakini alichofanyiwa huyu dada is not fair kabisa,kisaikolojia kaumizwa sana na anaweza kutuchukia wanaume wote.

Mtu kafanya maandalizi yote,siku moja imebaki mtu anaingia mitini! Najua hakuna ndoa ya kulazimishana lakini kwa hili huyu mchumba wake kaenda mbali mno mno,kampa adhabu ya kumfanya ajute maisha yake yote huyu dada wa watu.

Heri yake aliyeachwa akiwa kwenye ndoa tayari kuliko hili,Pole sana Vick,piga moyo konde,songa mbele na chakulia hili nalo ni changamoto nyingine ktk maisha.
 
unaweza kuthibitisha maneno yako
 
amejitaidi kuongea kwa ujasiri sana redioni lakini ukimsikiliza kwa undani utagundua kuwa kaathirika kisaikolojia,,,
 
Kosa lake kutembea na mkuu wa nchi. Katuma watu wake wamemtishia jamaa na kumwambia aingie mitini la sivyo ataozea jela kama akina babu Seya. Ila kwa hapa mkuu wa kaya anafanya vibaya yy anataka amiliki wangapi wakati anae wa ndoa ndani. Hata kama amewapitia hao mabinti imefikia nao wanataka wawe na familia zao. Katika dunia hii hakuna raha kubwa kama uhuru, fedha ni matokeo. Ivyo mabinti na vijana acheni tamaa ya kupenda vya bwerere. Mfano mnayo Vicky Kamata kapewa kila kitu na mkuu wa kaya lakini matokeo yake mmeyaona, mkuu wa kaya amegoma asiolewe eti atamdhalilisha. Hivyo atabaki mama wa kuwa na bwana pasipo kuhalalishwa labda mkuu wa kaya mungu amchukue.

Dah..! Kama haya yana ukweli hata nusu tu basi Vicky should be more confused kuliko nilivyofikiria.
 
Mimi si mtaalam wa sheria lakini alichofanyiwa huyu dada is not fair kabisa,kisaikolojia kaumizwa sana na anaweza kutuchukia wanaume wote.

Mtu kafanya maandalizi yote,siku moja imebaki mtu anaingia mitini! Najua hakuna ndoa ya kulazimishana lakini kwa hili huyu mchumba wake kaenda mbali mno mno,kampa adhabu ya kumfanya ajute maisha yake yote huyu dada wa watu.

Heri yake aliyeachwa akiwa kwenye ndoa tayari kuliko hili,Pole sana Vick,piga moyo konde,songa mbele na chakulia hili nalo ni changamoto nyingine ktk maisha.

hivi tunajua kwanini jamaa kaitosa hiyo harusi? huyo dem anaujua ukweli na hawezi kuusema. lini kaachana na Mkulu? unafikiri kuna mtu anapenda kuchapiwa kifara? huyo dem wa mkulu na akiamua any time anamwambia achukue pipa wanakuta nassau bahamas au santo domingo au cockburn kule turks and caycos islands anamkoa weee mpaka anarizika ndio anamwachia arudi kwa huyo mme -----, big up mwanangu kwa kumtosa huyo shori maana akina igondu wangekutoa kucha bila ganzi siku ambayo ungethubutu hata kumnasa kibao af akampigia sim mkulu
 
akome amezoea kudandia waume za watu hata hao watoto wa kwenye familia yake kazaa na mume watu anyway kwenye wimbo huo angesema mume wa mtu ni sumu

Mkuu iparamasa mpeni pole ndg yenu au amewaudhi kiasi kwamba hamna hamu naye tena,halafu jina lako kama vile nawe ni mtu wa Geita maeneo ya matabhi,lulembela!
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo anamaanisha moyo wa mkulu ndio kiza kinene au wa aliyemuwachaa!!!? Sijaelewa jamani.
 
Back
Top Bottom