VictoriousYouth
Member
- Jan 16, 2014
- 63
- 11
Muokoke ili mpate waume wema, sio kuibukiana tuuuuu! Matokeo munaumizana
baada ya ndoa yake kuharishwa ghafla siku mbili kabla ya harusi, mbunge wa viti maalum(ccm) mh vicky kamata ,,ametoa wimbo wake mpya kuwatumia ujumbe wale wote walioshangalia ndoa yake kuhairishwa
akizungumza na redio clouds, mh vicky amesema kuwa ameamua kutunga wimbo kuwapa ujumbe mabinti wenzake ambao hawajaolewa
akijibu swali la mtangazaji kuhusu mipango yake ya badaye kuhusu ndoa, mh amesema kwa sasa wale waliokuwa wanamipango ya kumchumbia wampe muda kidogo ili alee familie yake na kusimamia foundation yake.
My take:vijana tujitokeze tukamuondolee aibu mh kwani amechanganyikiwa sana,
Kosa lake kutembea na mkuu wa nchi. Katuma watu wake wamemtishia jamaa na kumwambia aingie mitini la sivyo ataozea jela kama akina babu Seya. Ila kwa hapa mkuu wa kaya anafanya vibaya yy anataka amiliki wangapi wakati anae wa ndoa ndani. Hata kama amewapitia hao mabinti imefikia nao wanataka wawe na familia zao. Katika dunia hii hakuna raha kubwa kama uhuru, fedha ni matokeo. Ivyo mabinti na vijana acheni tamaa ya kupenda vya bwerere. Mfano mnayo Vicky Kamata kapewa kila kitu na mkuu wa kaya lakini matokeo yake mmeyaona, mkuu wa kaya amegoma asiolewe eti atamdhalilisha. Hivyo atabaki mama wa kuwa na bwana pasipo kuhalalishwa labda mkuu wa kaya mungu amchukue.
Mkuu mleta mada,
naomba namba yake

Mimi si mtaalam wa sheria lakini alichofanyiwa huyu dada is not fair kabisa,kisaikolojia kaumizwa sana na anaweza kutuchukia wanaume wote.
Mtu kafanya maandalizi yote,siku moja imebaki mtu anaingia mitini! Najua hakuna ndoa ya kulazimishana lakini kwa hili huyu mchumba wake kaenda mbali mno mno,kampa adhabu ya kumfanya ajute maisha yake yote huyu dada wa watu.
Heri yake aliyeachwa akiwa kwenye ndoa tayari kuliko hili,Pole sana Vick,piga moyo konde,songa mbele na chakulia hili nalo ni changamoto nyingine ktk maisha.

akome amezoea kudandia waume za watu hata hao watoto wa kwenye familia yake kazaa na mume watu anyway kwenye wimbo huo angesema mume wa mtu ni sumu
Unanikumbusha ya akina Mbasha na Gwanyima. Hakuna ukweli.Muokoke ili mpate waume wema, sio kuibukiana tuuuuu! Matokeo munaumizana
Mkuu mleta mada,
naomba namba yake