s.crony
JF-Expert Member
- Jul 25, 2012
- 1,286
- 459
Shoga sina Ndoa chungu ila nyakati kama hizi tunapaswa kumpa Moyo Mwanamke Mwenzetu ! Si dhambi kutoolewa na wala si Ujanja Kuolewa na si Ubingwa kuwa na Ndoa Asali na si Ubwege kuwa na Ndoa Ngumu ....Ni Maisha tu
Rejea mafundisho "Mwanamke mwenye busara huijenga nyumba yake na mwanamke --------...."wkt mwingine ni ubwege kuwa na ndoa ngumu!