warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,273
- 18,393
Mbunge wa viti maalum Geita kupitia CCM, victoria kamata ametunga wimbo maalum uliobeba jina la " Nafsi ya mtu ni Kichaka" ambao ni kigongo tosha kwa zilipendwa wake charles Gadner ambae anadau kumbe ni laghai.
" huu wimbo ni mahsusi kabisa, unaweza kujiona upo na mtu kimapenzi kumbe anakuchora tu yaanu ni mashaka makubwa na ndio maana nikasema nafsi ya mtu ni kichaka, nikimaanisha sio kila mtu ni ni mtu," Alisema kamata.

baada ya ndoa yake kuharishwa ghafla siku mbili kabla ya harusi, Mbunge wa viti maalum(ccm) Mh vicky kamata ,,ametoa wimbo wake mpya kuwatumia ujumbe wale wote walioshangalia ndoa yake kuhairishwa
akizungumza na redio clouds, Mh vicky amesema kuwa ameamua kutunga wimbo kuwapa ujumbe mabinti wenzake ambao hawajaolewa
Akijibu swali la mtangazaji kuhusu mipango yake ya badaye kuhusu ndoa, Mh amesema kwa sasa wale waliokuwa wanamipango ya kumchumbia wampe muda kidogo ili alee familie yake na kusimamia foundation yake.
My take:vijana tujitokeze tukamuondolee aibu mh kwani amechanganyikiwa sana,