Vichwa vya habari vya Magazeti hapo tarehe 3 oktoba 2011

Watu wa CCM mnajivunia Tume ya Taifa ya Uchaguzi kama Watanzania wanavyojivunia Mlima Kilimanjaro. Mimi sibishi hayo kweli yaweza kuandikwa ila sitegemei uchaguzi huru mpaka nchi itakapopata Katiba mpya. Hivi unajua kwamba Katiba ingekuwa haizuii watu kuhoji wizi wa kura za Rais sasa hivi tusingekuwa na Baba Ridhiwani kama rais wa nchi maana ushahidi upo unaoonyesha uongo wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

Huo ushahidi wenu wa kuibiwa kura si ndio mlio upeleka kwenye mabalozi wa nchi za nje na UN , ila jamaa wakawapuuzia na kuwafukuza kwani waangalizi wao waliwaambia nyie ni wanafiki hamna lolote
 
Mukama:Makomandoo wa CDM wafanya kweli Igunga, polisi kuwajibishwa.

Mukama:Hakuna kuvuana magamba tena , ni hasara kwa chama .

Mukama: Hizi ni hasara za siasa uchwara , kujivua gamba sio sera ya CCM.

January: Hii ni kutokana na viongozi wetu kufumaniwa na wake za watu, Secretariat kujadili juu ya Mchemba .

Komba: Siasa uchwara zimetufikisha hapa leo, ni aibu kwa CCM .
 
ukweli tunaoujua juu ya historia ya sehemu hii ya dunia (nchi ya Tanzania) ni kuwa utumwa haukufanywa na Waarabu (wazungu) peke yao bali lilikuwepo kundi kubwa la 'wazalendo' waliofanya sehemu kubwa ya hiyo biashara.
Isije kuwa ni uzao wa hao 'wazalendo'!
Huo ushahidi wenu wa kuibiwa kura si ndio mlio upeleka kwenye mabalozi wa nchi za nje na UN , ila jamaa wakawapuuzia na kuwafukuza kwani waangalizi wao waliwaambia nyie ni wanafiki hamna lolote
 
*NI CHADEMA IGUNGA
-yazoa 52% ya kura zote
-ccm yaambulia 19%, cuf ya pili
-chadema wakesha vijiji vyote kushangilia
-mwigulu: hali si shwari ccm
 
Siyo kila uchaguzi chadema itashinda..ila mtajua tuu mkitenda mabaya Chadema watawapuku na mttangukia pua..Zaidi mtakuwa mmejifunza na mmewaogopa Chadema na ndiyo maana mmeiga style za Chadema kwenye Kampeni zao..Viongozi wooooote mmewapeleka Igunga kisa Chadema..Hofu ya nini ilikuwa?? Masaburi yako!!!! Na kama ikiwa Chadema wameshinda nyie itakuwa je?? Fisadi wee
 
Tukumbushane; hivi yule mbunge aliyeahidi kunywa sumu ni nani vile? Mbona ameacha kusisitiza ahadi yake?

haha haa alifikiria kutumia masaburi alafu akalopoka/akaropoka, sasa akipima upepo anaona hauelekei kule anakotaka... kuna kausemi nakaskia skia siku izi, wanasema eti.. '' akaogeeeeeeeee...."
 
Jamani hayo ni maoni ya huyo mwana JF sa tusiwe na haraka jamani bado visiku kadhaa tu tutakutana kwenye ulingo huu kufanyia kazi maoni ya huyo ndugu yetu
 
Baada ya tarehe 2 oktoba 2011 wananchi wa Igunga kupiga kura za kumchagua Mbunge wao. Kuanzia tarehe 3 oktoba 2011, vichwa mbali mbali vya habari vya magazeti vitakuwa hivi :
  • CHADEMA yapigishwa kwata Igunga
  • Mgombea Ubunge CHADEMA akataa kusaini matokeo
  • Wananchi wa Igunga wamchagua Kafumu
  • Dkt. Slaa apata ugonjwa wa moyo kwa matokeo ya Igunga
  • CHADEMA yatumia Tshs 2.5 bilioni uchaguzi wa Igunga na kuondoka patupu
  • Polisi Igunga yadhibiti vurugu za CHADEMA
  • Wananchi Igunga wakesha kusheherekea ushindi wa CCM
  • Viongozi wa CHADEMA wapoteana na kulaumiana
  • Mbunge wa CCM Igunga ajiandaa kuapishwa bungeni, ashinda kwa kishindo
  • Wananchi wa Igunga wafanya maamuzi ya busara kumrudisha Mbunge wa CCM Igunga
  • Helikopta ya CHADEMA yarudi yaondoka, mmiliki wake aidai CHADEMA Tshs 1 billion
  • Igunga kwawaka moto, viongozi wa CHADEMA waondoka kimya kimya baada yakushindwa
ongezea na vifuatavyo
- CCM yamshushia lawama Nchemba kushindwa Igunga
-Yadai kitendo cha Kufumaniwa na mke wa mtu kilichafua hali ya hewa
-Dr Kafumu ahaha kurudisha ajira yake,yadaiwa keshapewa mwingine
-Wasira asema CCM bado ina wabunge wengi zaidi Bungeni
-Slaa asema Igunga imefungua ukombozi wa Tabora
-Vijana wa Green Guard wahaha kudai posho zao bila mafanikio
 
Hata zambia ilikuwa hivyo sa hivi mhe.sata anachapa kazi.nashukuru kulitambua kuwa cuf ni kama hawamo.kwa mtu yeyote aliyeenda shule na anaufahamu na siasa ya tanzania anajua fika kuwa kwa sasa chadema inakubalika zaidi jumapili itayathibitisha haya.mungu iongoze cdm
 
Baada ya tarehe 2 oktoba 2011 wananchi wa Igunga kupiga kura za kumchagua Mbunge wao. Kuanzia tarehe 3 oktoba 2011, vichwa mbali mbali vya habari vya magazeti vitakuwa hivi :
  • CHADEMA yapigishwa kwata Igunga
  • Mgombea Ubunge CHADEMA akataa kusaini matokeo
  • Wananchi wa Igunga wamchagua Kafumu
  • Dkt. Slaa apata ugonjwa wa moyo kwa matokeo ya Igunga
  • CHADEMA yatumia Tshs 2.5 bilioni uchaguzi wa Igunga na kuondoka patupu
  • Polisi Igunga yadhibiti vurugu za CHADEMA
  • Wananchi Igunga wakesha kusheherekea ushindi wa CCM
  • Viongozi wa CHADEMA wapoteana na kulaumiana
  • Mbunge wa CCM Igunga ajiandaa kuapishwa bungeni, ashinda kwa kishindo
  • Wananchi wa Igunga wafanya maamuzi ya busara kumrudisha Mbunge wa CCM Igunga
  • Helikopta ya CHADEMA yarudi yaondoka, mmiliki wake aidai CHADEMA Tshs 1 billion
  • Igunga kwawaka moto, viongozi wa CHADEMA waondoka kimya kimya baada yakushindwa
Ukiona hivyo basi ujue CCM Kwishney. Walichobakiza ni kauli za kulazimisha USHINDI LAZIMA, tusubiri matendo.
 
masaburi yako na hivyo vichwa vyako vya habari ambavyo umevifikiria kwa masaburi
subiri kitu inauma jumapili
utajuuuta kuchuana na chadema
mbona nyie watu wa kijani muu wajinga wajinga hivyo
 
Siyo kila uchaguzi chadema itashinda..ila mtajua tuu mkitenda mabaya Chadema watawapuku na mttangukia pua..Zaidi mtakuwa mmejifunza na mmewaogopa Chadema na ndiyo maana mmeiga style za Chadema kwenye Kampeni zao..Viongozi wooooote mmewapeleka Igunga kisa Chadema..Hofu ya nini ilikuwa?? Masaburi yako!!!! Na kama ikiwa Chadema wameshinda nyie itakuwa je?? Fisadi wee

Tatizo Hawajui wao ni chama dola na wanatakiwa wawatumikie wananchi, Ila wameacha kuwatumikia wananchi wameamua kwenda kupiga domo Igunga, ie Wasira, Magufuli, na wengine ambao wana Nyadhifa kama hizo!! Shame on Magamba, Wanaona aibu kupokonywa Kitumbua Mdomoni na Bado hiyo ni rashasha tu, Bado Mvua Kamili
 
Hahahahahaha umenivunja mbavu! Na siku hiyo nawambia hamtaona mtu yeyote atakae vaa gwanda! Hakika nawambia itakua siku ya kusaga meno kwa Magwana na masalia yote ya magwanda popote iwe kwenye JF na Facebook hamta ona comment zao wengi watakua na nyuso za aibu kama yule mwanamke alie achwa na mmewe na kukimbiria kwa hawara kikojozi!
 
kwa igunga wakifanya hivo watakaribisha tahariri squire wenyewe japo hawajali sababu hawajajua madhara yake....gadafi angejua leo angekuwa alipo angelipua libya yote au angekaa pembeni mwenyewe bila mtutu

Sasa kupiga kura kuna maana na manufaa gani kama mmeshapoka ushindi? Najua uwezo wa kufanya hivyo mnao....wachezaji nyinyi....refa nyinyi.......mtangazaji nyinyi....mashabiki nyinyi.....hata mpira nyinyi !!!!!!!
 
Back
Top Bottom