Vichwa vya habari vya Magazeti hapo tarehe 3 oktoba 2011

Mi Nafikiri itakuwa hivi:-

  • CCM yapigishwa kwata Igunga
  • Mgombea Ubunge CCM na Wasira wakataa kusaini matokeo
  • Wananchi wa Igunga wamchagua Kashindye
  • Dkt. Slaa awapongeza Wananchi kwa matokeo ya Igunga
  • CCM yatumia Tshs 8.2 bilioni uchaguzi wa Igunga na kuondoka patupu
  • Polisi Igunga yadhibiti vurugu za Green Guard
  • Wananchi Igunga wakesha kusheherekea ushindi wa CHADEMA
  • Viongozi wa CCM wapoteana na kulaumiana, Wasira akimbizwa India kwa matibabu
  • Mbunge wa CCM Igunga ajiandaa kwenda Mahakamani kupinga Matokeo
  • Wananchi wa Igunga wafanya maamuzi ya busara kuondoa utawala wa CCM wa miaka mingi
  • Helikopta za CCM zashindwa kuondoka hazina mafuta. CCM wakataa kulipa moja haikufanya kazi
  • Igunga kwawaka moto, viongozi wa CCM waondoka kimya kimyaUSIKU WA MANANE baada yakushindwa
  • Yule aliyefumaniwa na mke wa kada wa CCM akatwa korodani.
 
Nepi at work mnamaliza keyboard za desk top ofisini kuandika pumba nakushauri fungua word document ili ujifunze ku type badala ya kupoteza muda wa kutumikia watanzania kwa kuandika pumba na njozi za alinacha mazafaka wewe...ungekuwa china ungelawitiwa in public kama adhabu yako kwa kuhujumu rasilimali ya umma

Baada ya tarehe 2 oktoba 2011 wananchi wa Igunga kupiga kura za kumchagua Mbunge wao. Kuanzia tarehe 3 oktoba 2011, vichwa mbali mbali vya habari vya magazeti vitakuwa hivi :

  • CHADEMA yapigishwa kwata Igunga
  • Mgombea Ubunge CHADEMA akataa kusaini matokeo
  • Wananchi wa Igunga wamchagua Kafumu
  • Dkt. Slaa apata ugonjwa wa moyo kwa matokeo ya Igunga
  • CHADEMA yatumia Tshs 2.5 bilioni uchaguzi wa Igunga na kuondoka patupu
  • Polisi Igunga yadhibiti vurugu za CHADEMA
  • Wananchi Igunga wakesha kusheherekea ushindi wa CCM
  • Viongozi wa CHADEMA wapoteana na kulaumiana
  • Mbunge wa CCM Igunga ajiandaa kuapishwa bungeni, ashinda kwa kishindo
  • Wananchi wa Igunga wafanya maamuzi ya busara kumrudisha Mbunge wa CCM Igunga
  • Helikopta ya CHADEMA yarudi yaondoka, mmiliki wake aidai CHADEMA Tshs 1 billion
  • Igunga kwawaka moto, viongozi wa CHADEMA waondoka kimya kimya baada yakushindwa
 
Hahahaha hii imekaa pouwa sana...kajitabiria kinyume chake cha maumbile

Mi Nafikiri itakuwa hivi:-

  • CCM yapigishwa kwata Igunga
  • Mgombea Ubunge CCM na Wasira wakataa kusaini matokeo
  • Wananchi wa Igunga wamchagua Kashindye
  • Dkt. Slaa awapongeza Wananchi kwa matokeo ya Igunga
  • CCM yatumia Tshs 8.2 bilioni uchaguzi wa Igunga na kuondoka patupu
  • Polisi Igunga yadhibiti vurugu za Green Guard
  • Wananchi Igunga wakesha kusheherekea ushindi wa CHADEMA
  • Viongozi wa CCM wapoteana na kulaumiana, Wasira akimbizwa India kwa matibabu
  • Mbunge wa CCM Igunga ajiandaa kwenda Mahakamani kupinga Matokeo
  • Wananchi wa Igunga wafanya maamuzi ya busara kuondoa utawala wa CCM wa miaka mingi
  • Helikopta za CCM zashindwa kuondoka hazina mafuta. CCM wakataa kulipa moja haikufanya kazi
  • Igunga kwawaka moto, viongozi wa CCM waondoka kimya kimyaUSIKU WA MANANE baada yakushindwa
  • Yule aliyefumaniwa na mke wa kada wa CCM akatwa korodani.
 
Baada ya tarehe 2 oktoba 2011 wananchi wa Igunga kupiga kura za kumchagua Mbunge wao. Kuanzia tarehe 3 oktoba 2011, vichwa mbali mbali vya habari vya magazeti vitakuwa hivi :
  • CHADEMA yapigishwa kwata Igunga
  • Mgombea Ubunge CHADEMA akataa kusaini matokeo
  • Wananchi wa Igunga wamchagua Kafumu
  • Dkt. Slaa apata ugonjwa wa moyo kwa matokeo ya Igunga
  • CHADEMA yatumia Tshs 2.5 bilioni uchaguzi wa Igunga na kuondoka patupu
  • Polisi Igunga yadhibiti vurugu za CHADEMA
  • Wananchi Igunga wakesha kusheherekea ushindi wa CCM
  • Viongozi wa CHADEMA wapoteana na kulaumiana
  • Mbunge wa CCM Igunga ajiandaa kuapishwa bungeni, ashinda kwa kishindo
  • Wananchi wa Igunga wafanya maamuzi ya busara kumrudisha Mbunge wa CCM Igunga
  • Helikopta ya CHADEMA yarudi yaondoka, mmiliki wake aidai CHADEMA Tshs 1 billion
  • Igunga kwawaka moto, viongozi wa CHADEMA waondoka kimya kimya baada yakushindwa
GeniusBrain amefumaniwa
 
ongezea na vifuatavyo
- CCM yamshushia lawama Nchemba kushindwa Igunga
-Yadai kitendo cha Kufumaniwa na mke wa mtu kilichafua hali ya hewa
-Dr Kafumu ahaha kurudisha ajira yake,yadaiwa keshapewa mwingine
-Wasira asema CCM bado ina wabunge wengi zaidi Bungeni
-Slaa asema Igunga imefungua ukombozi wa Tabora
-Vijana wa Green Guard wahaha kudai posho zao bila mafanikio
tehe tehe
 
Baada ya tarehe 2 oktoba 2011 wananchi wa Igunga kupiga kura za kumchagua Mbunge wao. Kuanzia tarehe 3 oktoba 2011, vichwa mbali mbali vya habari vya magazeti vitakuwa hivi :
  • CHADEMA yapigishwa kwata Igunga
  • Mgombea Ubunge CHADEMA akataa kusaini matokeo
  • Wananchi wa Igunga wamchagua Kafumu
  • Dkt. Slaa apata ugonjwa wa moyo kwa matokeo ya Igunga
  • CHADEMA yatumia Tshs 2.5 bilioni uchaguzi wa Igunga na kuondoka patupu
  • Polisi Igunga yadhibiti vurugu za CHADEMA
  • Wananchi Igunga wakesha kusheherekea ushindi wa CCM
  • Viongozi wa CHADEMA wapoteana na kulaumiana
  • Mbunge wa CCM Igunga ajiandaa kuapishwa bungeni, ashinda kwa kishindo
  • Wananchi wa Igunga wafanya maamuzi ya busara kumrudisha Mbunge wa CCM Igunga
  • Helikopta ya CHADEMA yarudi yaondoka, mmiliki wake aidai CHADEMA Tshs 1 billion
  • Igunga kwawaka moto, viongozi wa CHADEMA waondoka kimya kimya baada yakushindwa

... What do you think we should xpect from the very genius brain ... of our Nation!!? This is*really*a good try ..eh?*
 
tehe tehe ngoma uwanjani Jumapili haina haja ya kuanza kuandika heading za magazeti hapa na safari hii hakuna kuchakachua maana watu wamekaba mpaka giza sasa ngoma nzito ipo kwa Magamba mpaka mnaanza kuweweseka mpaka mnafikia kupeleka mawaziri kwenda kumpigia kampeni Mbunge wenu, hivi mwaka 2015 mtapigishwa kwata mpaka viuno viteguke, jimbo moja CCM yoyote imehamia pale...
hahaaa
 
mwigulu akatwa mapanga, akimbizwa hospitali, yadaiwa ni sababu ya wivu wa kimapenzi, mtuhumiwa asakwa!!! ha ha ha ha.
 
Back
Top Bottom