VICHWA PANZI FORUM

Surya

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
8,378
12,573
Vichwa panzi tukutane apa.

Tupeane majibu kwa lolote litakalo ulizwa bila kujali.

Vichwa panzi tutakua tukichat short short and clear


Uzi Tayari.
 
vichwa panzi ni kina nani?
na requirement mpaka uwe kichwa panzi ni zipi?
 
vichwa panzi ni kina nani?
na requirement mpaka uwe kichwa panzi ni zipi?
Ukiona kuna majukwaa wanakutenga tenga, hawakusikilz vizurii
Wanajifanya wana yao.

We njoo huku kwa vichwa panzi
 
vichwa panzi mna mkakati gani kuwashinda makupuku forum?
Hao makapuku hawana hera, umasikin umejaaa nadhan

Ila huku vichwa panzi maisha ni safii tu hela iwepo nying au ikwishe sawa tuu
 
Back
Top Bottom