Vichwa 15 vya treni kununuliwa na Serikali

Vichwa 15 vya treni kununuliwa na Serikali

Hiyo ni njia ya kujisafisha trust me hivyo vichwa serikali imenunua vibovu sasa ili kukwepa msala option ni hiyo tu maana walibanwa mbavu kwenye kifaa cha jeshi sasa na hii ikiongezeka huoni mkulu atakuwa matatani tena
 
Kwenye malipo wasinisahau maana havina mwenyewe wanijumuishe yaishe tu
 
wanunue kivipi wakati mwenye navyo hayupo mi nadhani wangetumia neno tunachukua vichwa vilivyotekelezwa bandarini.
 
Umeandika machapati gani nawewe?
Mara kama havina mwenyewe wakae na mmiliki waongee biashara,damn sasa havina mwenyewe huyo mmiliki wanamchongesha?
 
Vichwa havina mwenyewe. Suddenly, tutakaa chini na "mmiliki wa hivi vichwa". Akili za Magu na cabinet yake wanazijua wenyewe.
 
Wangemsikiliza yule mama aliyegoma kufanya kampeni yote haya majanga yasingekuwepo nchini mwetu. Sasa inakula kwetu hofu na taharuki kila kona ya nchi na madudu kibao Serikalini mara kasema hivi mara hajasema mara kajichotea trillions hazina bila the idhini ya Bunge mara wameanza kuwinda Watanzania na SMG ali mradi patashika nguo kuchanika.

Hii awamu ina deal na watu wa ajabu sana
Watu wasiojulikana
Wanafunzi Hewa
Wafanyakazi hewa
Vichwa vya train hivina mwenyewe, lakini Serikali inataka kuvinunua, sijui kwa nani?
 
Nasubiri kuona Serikali inanunua Vichwa vya Treni kutoka kwa Wauzaji wasiojulikana! Naomba hiyo siku ifike haraka [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama hakuna mwenyewe mmiliki,wana nunua kwa nani sasa.huu mchezo wa wasio julikana naona umekuwa mkubwa
 
Mzee waziri wa uchukuzi uwa namuona yuko serious sana wanamuingiza kwenye dirty game dah wanapoteza reputation yake kwenye jamii. Pole sana waziri naamini huwezi shiriki kwenye dirty game hila hamna namna
 
Serikali inapenda kututia vidole,sijui inazani Watanzania wote ni *******. PUMBAVUUU......!
 
Toka Lissu amelazwa hospital mambo yanaenda hovyo sana hii nchi, hatuna wa kutusemea kwa ujasiri.

Get well soon Lissu, huku sarakasi zimezidi.
 
Back
Top Bottom