Vichwa 15 vya treni kununuliwa na Serikali

Hahahaaa acha njaamkuu vyabure vina gharamapia.
 
Achana na vichwa vyangu hivyo nataka nivibadilishe viwe generator si unaona kila siku umeme unakatwa? Wee viache
 
muislam kuhalalisha nyati ati naye kachinjwa. Thubutu! Umeona wapi kichwa cha treni kikielekea nyanda za kaskazini kupitia segera?? Vichwa vina nembo tiyari TRL ambao ndio wenye njia zake utasemaje havina mwenyewe? Haya, utamlipa nani anayekuuzia? Mengine sifa tu 2020 tuseme tuliokoa
 
Nlishtuka serikali iliposema inataka kununua vichwa vya garimoshi ambavyo havina mwenyewe. Ingawa vimelipiwa kila kitu lakini haijulikani ni vya nani.

Nmewaza nikaona serikali itapata shida wa kumkabidhi pesa. Nmeona mimi nijitokeze tu nipokee kwa niaba yake then yeye atanitafuta nimpatie.ili vile vichwa vianze kupiga kazi kuliko hivi sasa wanamtafuta mwenyewe hawamwoni.

Nipo tayari kupokea pesa kwa niaba yake mimi Mh Ndugu Mtukufu Prof Gudume Gwenu.
Wewe sio gujike gwetu
 
Siku ukijitokeza kwenye mamlaka,watakutia ndani uwaonyeshe Bill of Lading, kodi za TRA,storage charge za TPA,kosa ni kujaribu serikali.
 
Nlishtuka serikali iliposema inataka kununua vichwa vya garimoshi ambavyo havina mwenyewe. Ingawa vimelipiwa kila kitu lakini haijulikani ni vya nani.

Nmewaza nikaona serikali itapata shida wa kumkabidhi pesa. Nmeona mimi nijitokeze tu nipokee kwa niaba yake then yeye atanitafuta nimpatie.ili vile vichwa vianze kupiga kazi kuliko hivi sasa wanamtafuta mwenyewe hawamwoni.

Nipo tayari kupokea pesa kwa niaba yake mimi Mh Ndugu Mtukufu Prof Gudume Gwenu.
Gudume!
 
muislam kuhalalisha nyati ati naye kachinjwa. Thubutu! Umeona wapi kichwa cha treni kikielekea nyanda za kaskazini kupitia segera?? Vichwa vina nembo tiyari TRL ambao ndio wenye njia zake utasemaje havina mwenyewe? Haya, utamlipa nani anayekuuzia? Mengine sifa tu 2020 tuseme tuliokoa
Umegonga penyewe mkuu
 
Nlishtuka serikali iliposema inataka kununua vichwa vya garimoshi ambavyo havina mwenyewe. Ingawa vimelipiwa kila kitu lakini haijulikani ni vya nani.

Nmewaza nikaona serikali itapata shida wa kumkabidhi pesa. Nmeona mimi nijitokeze tu nipokee kwa niaba yake then yeye atanitafuta nimpatie.ili vile vichwa vianze kupiga kazi kuliko hivi sasa wanamtafuta mwenyewe hawamwoni.

Nipo tayari kupokea pesa kwa niaba yake mimi Mh Ndugu Mtukufu Prof Gudume Gwenu.
Vile ni vyangu ila niliwaambia wasinitangaze. Wewe kama unataka njoo nikupe kazi ya ulinzi zile pesa ni nyingi ukipewa mnyonge jama wewe unaweza kufariki hapo hapo. Tuachie sisi wenye uzoefu wa mabilioni ambayo kwetu ni vijisenti tu. Ulishawahi kutumia mil 10 kwaajili ya mboga wewe?
 
Hapo ndo wanashindwa kuelewa ,kwa hiyo vitanunuliwa kwa "watu wasiojulikana" ........???
 
Aiseee hiii imenifanya nimuangalie Mh. Mbarawa kwa jicho la roho ni kabisa.
Loohh kudanganywa gani kule
 
Hivi hii awamu hawachoki na episode zao za kitoto kabisa,TRL walisema vichwa sio vyao havina ubora leo hii wanasema watavinunua.
Wakiambiwa ukweli wanasema uchochezi
 
Tume uchwara kuchunguza vichwa vya treni vya watu wasiojulikana ambavyo Serikali inataka kuvinunua imefikia wapi katika uchunguzi wake. Kumbuka vichwa hivi vilishalipiwa na TRL 71 billion mwaka 2013 lakini majizi ndani ya Chama cha wahuni, mafisadi na wauaji wameona kuna fursa ya kupiga dili la Karne hivyo wanataka kuchakarika majizi haya.
 
Safi sana kama wameamua kununua vichwa vilivyozungumzwa kuwa ni vibovu na visivyokuwa na mmiliki.Inamaana pesa watalipwa watu wasiojulikana?na kwasababu zisizojulikana?Jamani tusiwe wepesi wa kutoa matamko,jambo la msingi ni uchunguzi wa kina juu ya jambo tajwa ili taarifa ikitolewa kwa umma isiwe ile ya kusababisha muwashwo ktk masikio ya wananchi wenye akili timamu.
 
Ufisadi mwingine wa hii Serikali huu hapa lakini uchwara anauficha. Halafu anajipiga kifua kwamba anapambana na ufisadi.
 
Back
Top Bottom