Vichwa 15 vya treni kununuliwa na Serikali

Vichwa 15 vya treni kununuliwa na Serikali

Hahahahahahah lol! Mkuu ni kichekesho hiki tena kikubwa sana. Mali haina mwenyewe halafu wanataka kuinunua! Hizo pesa atalipwa nani? Mniache nainyoosha nchi napambana na ufisadi LOL!

Mwenyewe huyo ni nani wakati havina mwenyewe
Kama havina mwenyewe si ivitaifishe tuu kuna haja ya kuunda tume ambayo itakula pesa kumtafuta mmiliki ambaye ni invisible
BAK tusaidie hapa
 
Mwenyewe atakuwa ni MIKATABA iliosainiwa.Humo huwa hatuchomoki mara zote
 
Hii ndio serikali inayopinga ufisadi!

Alafu Raisi alijuaje kama ni vibovu?

Inakuwaje tena leo tena vinafanyiwa uchungu wakati Raisi alishasema ni vibovu?
 
Hahahahahahah lol! Mkuu ni kichekesho hiki tena kikubwa sana. Mali haina mwenyewe halafu wanataka kuinunua! Hizo pesa atalipwa nani? Mniache nainyoosha nchi napambana na ufisadi LOL!

Hapo sasa mmkuu sijui peswa italipwa kwa nani au itatupwa hewani akayeokota ndio huyu huyo mmiliki
Dah sometime ukihitaji vichekesho njoo Tanzania malipo yanalipwa kwa mmiliki asiyetambuliwa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Bila shaka aliyeviokota huyu ni kutoka lile kundi la watu wasiojulikana na atalipwa mabilioni yake kwa jina lisilojulikana. Tanzania kichwa cha mwendawazimu aliyeshindikana hata Mirembe sasa kabaki anatanga tanga mtaani uchi wa binadamu.

Hapo sasa mmkuu sijui peswa italipwa kwa nani au itatupwa hewani akayeokota ndio huyu huyo mmiliki
Dah sometime ukihitaji vichekesho njoo Tanzania malipo yanalipwa kwa mmiliki asiyetambuliwa
 
Ukitaka mwenyewe afahamike akosee kwenda kumtembelea Lissu. Kimsingi hivyo vichwa vilishanunuliwa kifisadi na waliovinunua wanafahamika. Kinachofanyika ni kuvisafisha baada ya wanaccm kulishana yamini. Ila hivyo vichwa ni used na vilinunuliwa kwa bei ya vipya tena iliyowekwa cha juu.

Mkulu anafahamu lakini nadhani nyuma ya pazia wameona hivyo vichwa vina afadhali kuliko kile kivuko, hivyo wameamua kufanya ni siri ya mtungi kwani aliyekuwa anasema bila woga yuko hoi hospitalini Nairobi.
 
Bila shaka aliyeviokota huyu ni kutoka lile kundi la watu wasiojulikana na atalipwa mabilioni yake kwa jina lisilojulikana. Tanzania kichwa cha mwendawazimu aliyeshindikana hata Mirembe sasa kabaki anatanga tanga mtaani uchi wa binadamu.

Sawa kabisa tusubiri sasa
Muda wote viko hapo mbona mmiliki hajajitokeza
Na sasa tume inaunndwa kumchunguza mtu asiyejulikana ili alipwe
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Prof Makame Mbarawa amesema Serikali imeandaa jopo la wataalumu 11 wanaoshughulikia tathimini ya ubora na thamani halisi ya vichwa vya treni vilivyotelekezwa bandarini ili kama ni vizima iweze kuvinunua. Ingawa hakuweza kutaja mmiliki wa vichwa hivyo.

Sasa sijui huyu muuzaji atapatikanaje!?
 
Show imeisha we are back to reality.
Ile dhahabu ya Bandarini ilikuwa show nyingine. Hamna kitu mle, ni media circus tu
 
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa amesema hayo leo jijini Dar es Salaam na kusema kuwa serikali imekusudia kuvinunua vichwa hivyo vya treni kwa matumizi endapo vitakuwa ni vizima na kama havitakuwa na matatizo yoyote.

Mwenyewe kashapatikana siyo ??
Bongo banah
 
Sheria na taratibu za manunuzi ya umma zinaruhusu kufanya wanavyotaka kufanya?
 
Back
Top Bottom