Vichekesho ndani ya vitabu vya TET

Vichekesho ndani ya vitabu vya TET

Hehehee wanasema.wizara inaongozwa na pprof msomi mwanamama...sasa hana tofauti na bashite..inamaana wataalamu wake wanaokagua vyeti feki hawaoni haya au dharau tu
 
Kuhusu "listen" ipi 124 Ali ?
Mkuu teleskopu inawezekana mimi ndio nimekosea nilikuwa na refer kwa zile activities "listen and practice...."
Kama mwalimu anawasomea itakuwa sahihi lakini kama wanasoma wenyewe then lazima kuwe na audio accesory mkuu!all in all ahsante na endelea kutuletea misiba yetu ya kielimu labda tutajitambua mvele ya safari ila kiukweli watoto wetu wanatia huruma!
 
Nia ilikua ni kutizama insects to.. Hao jongoo na ua aachane navyo..

Nia pekee haitoshi, hii ni elimu ya vijana wetu kaka. Look wanamaanisha waangalie vile vitu ambavyo wao wame classify kama Insects. Kama ilikuwa nia yao ni vijana wachague insects pekee ktk picha hizo. Wangetumia neno tofauti na Look.
 
Prof. Ndalichako angekuwa na weredi wa hali ya juu na kwa kuwa kwake Prof. ambaye ana PhD, lazima angepitia kitabu kimoja baada ya kingine kabla ya kufanya endorsement.

Hivi walishindwa nini kuwa commission British Council Dar es Salaam wawafanyie editing ya vitabu vya lugha ya Kiingereza?

Halafu ni shule gani makini na mzazi makini atakubali vitabu hivyo kufundishia mwanae?

Halafu eti vitabu vingine kama vya Kenya na UK visitumike kufundishia, na kubaki na crap kama hii.

Kwa kifupi, wahusika wote kuanzia waziri wa elimu wajiuzulu ama watumbuliwe haraka sana.
 
Mkuu teleskopu inawezekana mimi ndio nimekosea nilikuwa na refer kwa zile activities "listen and practice...."
Kama mwalimu anawasomea itakuwa sahihi lakini kama wanasoma wenyewe then lazima kuwe na audio accesory mkuu!all in all ahsante na endelea kutuletea misiba yetu ya kielimu labda tutajitambua mvele ya safari ila kiukweli watoto wetu wanatia huruma!
Sawa 124 Ali nimekupata sasa. Bila shaka basi hiyo itakuwa inamaanisha ama wanamsikiliza mwalimu au mwanafunzi mwenzao anayeteuliwa na mwalimu. Na hiyo sio tatizo; ni poa tu.
 
Watu wengi wamesoma makala kwenye gazeti la The Guardian la tarehe 14-05-2017 kuhusu kitabu cha Kiingereza darasa la 3 cha TET na utani wao unaoendelea hivi sasa kwamba Dodoma ni “big city” ya Tanzania (badala ya “Capital city). Naamini wengi hawajajua matatizo na vichekesho vingine lukuki vilivyomo ndani ya kitabu hicho.

Acha nikumegee KIDOGO:

1. Uk 1 – Kuna maneno “Listen to the words and practice to pronounce them”. Neno “practice” ni makosa. Tanzania tunafundisha British English. Neno hili halifai hapa. Kosa hili lipo karibu kwenye kurasa ZOTE za kitabu.
2. Uk 13 – anayeongea hapa ni Furaha. Inakuwaje chini uweke daughter, son, baby wakati msemaji ni Furaha?
3. Uk 17 – Hivi, hizi nazo ni sentensi? “My father and my mother.” ---- “My brother, my young sister and I.” Kwenye jedwali la chini wanasema za kushoto ni sentensi. Ni kweli?
4. Uk 24 – sentensi ya 3 inasema: “She likes washing.” Ukisoma tu unajua haijatimia.
5. Uk 25 – sentensi ya 4 inasema: “He likes riding bicycle.” Hebu soma hii uone kama ni nzuri: “I like reading book.” ---- Basin a ya kwao iko hivyohivyo. Broken English.
6. Uk 28 – Instruction inasema: Complete the sentences (NYINGI) by looking at the picture (MOJA????)
7. Uk 31 – Instruction inasema: Look and speak about the picture. –neno about linaenda na ‘speak”. Hivyo, ukiondoa zoezi la ku-speak (yaani, speak about) kitakachobaki ni “Look the picture”. Unaonaje Kiingereza hicho?
8. Uk 45 – Instruction inasema: Look at the pictures (NYINGI) and complete the word (MOJA????).
9. Uk 50 – Eti, “donkey” ni wild animal?
10. Uk 52 – Kwani hili ndio jina la “kunguru”?
11. Uk 58 – Instruction inasema: “Name the pictures by touching (A) and by pointing (B).---- Kwa hiyo hapo ame-touch A na ku-point B?
12. Uk 59 -60 --- hebu isome habari hii ambayo wanaita “story” kisha uone: (1) kama kweli ni story (2) kama aya ya 1 & 2 zina ushirikiano wowote. Mimi naona ni kama mtu amechukua nguo na vyombo vya jikoni kisha akaweka vyote sandukuni.
13. Uk 66-67 -- Instruction inasema: Complete the sentences. ---- hata uki-complete, je, unachopata ni sentensi kweli?
Yaani: A fat cow and a thin cow; A bottle full of water and an empty bottle; Wet clothes and a dry clothes – ni sentensi?? Achilia mbali kwamba ya tatu inasema: a dry clothes!!

14. Uk 69 - Instruction inasema: “Listen and say the colours ….” --- Do we really say colours?
15. Uk 127 – Instruction inasema: Look at the insects: ---- sikujua kuwa siku hizi hata ua na jongoo nao ni insects.
…………………….

Kwa mwendo huu, naona giza mbele ya safari. Nahisi vitabu hivi vinaweza kufaa kufanyia comedy lakini sio kufundishia watu watakaopeleka taifa letu mbele kwenye ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia.
Ikiwa nafc za wahusika ni za kuteuliwa na mheshimiwa yeyote basi hawana kosa maana walipaswa kujua kusoma na kuandka tu hata na hvyo wamejitahdi sana.Na ikiwa sivyo navyowaza basi washughulikiwe ipasavyo
 
Look and 'speak' about the picture?!
 
Hata wakuhakiki itakua alikata tamaa maana sio kwa kiasi hiki,,,akajua hizi ni dili za watu akaachana nazo ,,,aliyeaandaa asije akawa nae ni std 4
 
Watu wengi wamesoma makala kwenye gazeti la The Guardian la tarehe 14-05-2017 kuhusu kitabu cha Kiingereza darasa la 3 cha TET na utani wao unaoendelea hivi sasa kwamba Dodoma ni “big city” ya Tanzania (badala ya “Capital city). Naamini wengi hawajajua matatizo na vichekesho vingine lukuki vilivyomo ndani ya kitabu hicho.

Acha nikumegee KIDOGO:

1. Uk 1 – Kuna maneno “Listen to the words and practice to pronounce them”. Neno “practice” ni makosa. Tanzania tunafundisha British English. Neno hili halifai hapa. Kosa hili lipo karibu kwenye kurasa ZOTE za kitabu.
2. Uk 13 – anayeongea hapa ni Furaha. Inakuwaje chini uweke daughter, son, baby wakati msemaji ni Furaha?
3. Uk 17 – Hivi, hizi nazo ni sentensi? “My father and my mother.” ---- “My brother, my young sister and I.” Kwenye jedwali la chini wanasema za kushoto ni sentensi. Ni kweli?
4. Uk 24 – sentensi ya 3 inasema: “She likes washing.” Ukisoma tu unajua haijatimia.
5. Uk 25 – sentensi ya 4 inasema: “He likes riding bicycle.” Hebu soma hii uone kama ni nzuri: “I like reading book.” ---- Basin a ya kwao iko hivyohivyo. Broken English.
6. Uk 28 – Instruction inasema: Complete the sentences (NYINGI) by looking at the picture (MOJA????)
7. Uk 31 – Instruction inasema: Look and speak about the picture. –neno about linaenda na ‘speak”. Hivyo, ukiondoa zoezi la ku-speak (yaani, speak about) kitakachobaki ni “Look the picture”. Unaonaje Kiingereza hicho?
8. Uk 45 – Instruction inasema: Look at the pictures (NYINGI) and complete the word (MOJA????).
9. Uk 50 – Eti, “donkey” ni wild animal?
10. Uk 52 – Kwani hili ndio jina la “kunguru”?
11. Uk 58 – Instruction inasema: “Name the pictures by touching (A) and by pointing (B).---- Kwa hiyo hapo ame-touch A na ku-point B?
12. Uk 59 -60 --- hebu isome habari hii ambayo wanaita “story” kisha uone: (1) kama kweli ni story (2) kama aya ya 1 & 2 zina ushirikiano wowote. Mimi naona ni kama mtu amechukua nguo na vyombo vya jikoni kisha akaweka vyote sandukuni.
13. Uk 66-67 -- Instruction inasema: Complete the sentences. ---- hata uki-complete, je, unachopata ni sentensi kweli?
Yaani: A fat cow and a thin cow; A bottle full of water and an empty bottle; Wet clothes and a dry clothes – ni sentensi?? Achilia mbali kwamba ya tatu inasema: a dry clothes!!

14. Uk 69 - Instruction inasema: “Listen and say the colours ….” --- Do we really say colours?
15. Uk 127 – Instruction inasema: Look at the insects: ---- sikujua kuwa siku hizi hata ua na jongoo nao ni insects.
…………………….

Kwa mwendo huu, naona giza mbele ya safari. Nahisi vitabu hivi vinaweza kufaa kufanyia comedy lakini sio kufundishia watu watakaopeleka taifa letu mbele kwenye ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia.

Umechambua vizuri sana makosa mbalimbali mwalimu, sasa toa na ushauri kwa serikali inunue na kusambaza vitabu bora vilivyopata ithibati ya EMAC kuondoa upungufu shuleni kwa ufaulu bora wa wanafunzi.
 
Listen and say the colours of the national flag? - this is either magic, was meant for the blind or simply a direct translation from Kinyantuzu.

Complete the sentences by looking at the picture - how on earth do I complete a sentence by looking at a picture - in my mind ?

Kuna wakati James Mbatia alizungumzia kushuka kwa elimu Tanzania kwa hisia kali sana. Wakamwambia anatafuta kiki, wakapuuza aliyosema. Japo hapo ni suala la lugha, lakini ni kiashiria tosha kabisa cha kwamba elimu ya Tanzania imeshuka sana, kwa kiwango cha kutisha. Hatuwezi kujificha nyuma ya pazia kwamba kuelimika sio lazima ujue kiingereza kwa ufasaha. Lakini kama ni hivyo, hadi ukasoma na kuelimika katika nchi inayotumia kiingereza kama lugha ya kufundishia, na kama ulifundishwa kiingereza kuanzia shule ya msingi hadi form four kabda, iweje ushindwe kuongea kiingereza fasaha ikiwa pia uliendelea kukitumia katika masomo yako ya juu?

Siku wasomi wetu marubani, mainjinia, madaktari nk wakianza kuua watu labda ndio tutajua tuna tatizo. Na siju kama hawajaanza bado.
 
Watu wengi wamesoma makala kwenye gazeti la The Guardian la tarehe 14-05-2017 kuhusu kitabu cha Kiingereza darasa la 3 cha TET na utani wao unaoendelea hivi sasa kwamba Dodoma ni “big city” ya Tanzania (badala ya “Capital city). Naamini wengi hawajajua matatizo na vichekesho vingine lukuki vilivyomo ndani ya kitabu hicho.

Acha nikumegee KIDOGO:

1. Uk 1 – Kuna maneno “Listen to the words and practice to pronounce them”. Neno “practice” ni makosa. Tanzania tunafundisha British English. Neno hili halifai hapa. Kosa hili lipo karibu kwenye kurasa ZOTE za kitabu.
2. Uk 13 – anayeongea hapa ni Furaha. Inakuwaje chini uweke daughter, son, baby wakati msemaji ni Furaha?
3. Uk 17 – Hivi, hizi nazo ni sentensi? “My father and my mother.” ---- “My brother, my young sister and I.” Kwenye jedwali la chini wanasema za kushoto ni sentensi. Ni kweli?
4. Uk 24 – sentensi ya 3 inasema: “She likes washing.” Ukisoma tu unajua haijatimia.
5. Uk 25 – sentensi ya 4 inasema: “He likes riding bicycle.” Hebu soma hii uone kama ni nzuri: “I like reading book.” ---- Basin a ya kwao iko hivyohivyo. Broken English.
6. Uk 28 – Instruction inasema: Complete the sentences (NYINGI) by looking at the picture (MOJA????)
7. Uk 31 – Instruction inasema: Look and speak about the picture. –neno about linaenda na ‘speak”. Hivyo, ukiondoa zoezi la ku-speak (yaani, speak about) kitakachobaki ni “Look the picture”. Unaonaje Kiingereza hicho?
8. Uk 45 – Instruction inasema: Look at the pictures (NYINGI) and complete the word (MOJA????).
9. Uk 50 – Eti, “donkey” ni wild animal?
10. Uk 52 – Kwani hili ndio jina la “kunguru”?
11. Uk 58 – Instruction inasema: “Name the pictures by touching (A) and by pointing (B).---- Kwa hiyo hapo ame-touch A na ku-point B?
12. Uk 59 -60 --- hebu isome habari hii ambayo wanaita “story” kisha uone: (1) kama kweli ni story (2) kama aya ya 1 & 2 zina ushirikiano wowote. Mimi naona ni kama mtu amechukua nguo na vyombo vya jikoni kisha akaweka vyote sandukuni.
13. Uk 66-67 -- Instruction inasema: Complete the sentences. ---- hata uki-complete, je, unachopata ni sentensi kweli?
Yaani: A fat cow and a thin cow; A bottle full of water and an empty bottle; Wet clothes and a dry clothes – ni sentensi?? Achilia mbali kwamba ya tatu inasema: a dry clothes!!

14. Uk 69 - Instruction inasema: “Listen and say the colours ….” --- Do we really say colours?
15. Uk 127 – Instruction inasema: Look at the insects: ---- sikujua kuwa siku hizi hata ua na jongoo nao ni insects.
…………………….

Kwa mwendo huu, naona giza mbele ya safari. Nahisi vitabu hivi vinaweza kufaa kufanyia comedy lakini sio kufundishia watu watakaopeleka taifa letu mbele kwenye ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia.
Nimechoka kabisa
 
Back
Top Bottom