Vichekesho ndani ya vitabu vya TET

Vichekesho ndani ya vitabu vya TET

Ujiangalie wewe, umeshindwa kujibu maswali hayo ungepita kimya kimya tu.

Hata hayo yaliyochambukiwa hapo, mbona mengine yameachwa...basi andika wewe kivizuri...

Mfata mkumbo hujui chochote...eeeh
kwakwel nitakujibuje zero brain kama hapo unashindwa kuona hata kwa macho, nitakua najiaibisha bure na kuikosea heshima elimu yangu kubishana na mtu ambae anaona hivyo vilivyoandikwa hapo ni yametoka magazetini na pia anaona ya kwamba ua ama maua ni jamii ya wadudu
kwaheri zero brain ..bishana na mazero brain wenzio wa lumumba ambao na wao watatetea uziro brain huu.
 
Kweli kazi ipo. Naamini havikuhakikiwa
Mtu anayepewa dhamana ya kuandika vitabu vya kufundishia watoto hapaswi kuwa na makosa ya aina hii. A few spelling mistakes tungesema vitabu havikuhakikiwa.

Inawezekana vipi enzi za kuchapisha vitabu kwa computer zinazosahihisha mpaka grammar mwandishi mtaalamu afanye makosa yote haya!!!!!
 
Haiingii akilini hata kidogo Angry Bird.
 
Mlete mada kukosoa pekee haitoshi, ulipaswa wewe uoneshe ipi njia sahihi ilivyotakiwa badala ya kukosoa tu bila wewe kutoa majibu, vinginevyo ukosoaji wako hutakuwa tofauti na huyo anayekosolewa.
 
namba nne haiwezi kuwa ni mambo ya Gerund? tena direct object?(najifunza bado hivyo nisipigwe mawe hapa na wataalamu)

asante mkuu kwa kufukunyua huu ukanjanja hali ipo hivyo hivyo kwenye vitabu vya secondary
 
Hivi ni kweli tumeshindwa kuwashirikisha wataalamu wa hiyo lugha waliopo pale udsm na vyuo vingine mpaka walete madudu haya?
 
Itakuwa walitumia bongo movie kuandika hivyo vitabu., kweli tuna safari ndefu.
 
Kwanza naomba kuuliza hivyo vitabu vinakuja na audio ta kusikiliza?

Pia ni maneno yako hayo au ya gazetini?

Kuna masahihisho pia kusaidia hata mwanafunzi akisoma gazeti ajue lipi ni lipi?
Cocochanel kuhusu swali la kwanza, si rahisi vikawa na audio. Lakini huenda swali hilo ni la TET wenyewe zaidi. Swali la 2 -- maneno ni yangu lakini vielelezo nimetoa kwenye kitabu chenyewe. Kuhusu swali la 3, sorry, sijalielewa Cocochanel.
 
Tupe namba ya SMS , tukihitaji vichekesho zaidi
 
Hivi ni kweli tumeshindwa kuwashirikisha wataalamu wa hiyo lugha waliopo pale udsm na vyuo vingine mpaka walete madudu haya?
Wazo kwamba wataalamu ni walio udsm linaweza lisiwe sahihi sana Ngushi maana uandishi ni both knowledge na talent. Hata hivyo, wahusika wa TET walijinadi sana kuwa wana wataalamu toka chuo kikuu ndio maana wakasema wao ndio wanaofaa kabisa kuandaa vitabu vya kutumika shuleni.
 
Mlete mada kukosoa pekee haitoshi, ulipaswa wewe uoneshe ipi njia sahihi ilivyotakiwa badala ya kukosoa tu bila wewe kutoa majibu, vinginevyo ukosoaji wako hutakuwa tofauti na huyo anayekosolewa.
Njia nimeshazisema vya kutosha kwenye nyuzi zangu zingine juu ya jambo hili Mchanya.
 
Back
Top Bottom