Vichekesho ndani ya vitabu vya TET

Vichekesho ndani ya vitabu vya TET

Hiii ndio ubaya wa mtu mmoja kutaka kufanya kila kitu , huwezi toa kitu bora ila utatoa bora kitu.

Watu huweka maslahi yao mbele badala ya taifa.
 
kwakwel nitakujibuje zero brain kama hapo unashindwa kuona hata kwa macho, nitakua najiaibisha bure na kuikosea heshima elimu yangu kubishana na mtu ambae anaona hivyo vilivyoandikwa hapo ni yametoka magazetini na pia anaona ya kwamba ua ama maua ni jamii ya wadudu
kwaheri zero brain ..bishana na mazero brain wenzio wa lumumba ambao na wao watatetea uziro brain huu.

Huwezi kujibu kwa sababu haufahamu majibu full stop. Wewe ni zero brain ndio maana hujaelewa juu ya maswali yangu...yaani hata fikra ya nje ya box haikukujia....gazeti lote hilo umeandika upupwu... jisikitikie na jicheke...hujui chochote... hilooooooo eeeeeh
 
Tangu 2014 miss chagga wanahangaika na kazi hii. Na hapa walishatoa vitabu vikaonekana vibovu wakachoma moto na kuanza upya.
Ati unasemaaaa! Sitaki kuamini hiki kitu. Hao wataalamu wachunguzwe akili upesi sana. Lazima kuna jambo. Ichunguzwe malipo ya material na manpower. Lazima kuna bank accounts zimenona.
 
HAO WATUNZI WA HIVI VITABU WAHAKIKIWE HADI VYETI VYAO VYA DARASA LA SABA.KWA KWELI KUNA DALILI NYINGI TU ZA HALI FULANI FULANI HUKO TETI
 
MWANANGU ALIKUJA NA HIKO KITUKO KWA MASIKITIKO MAKUBWA AKASEMA NAJUA MAJIBU SIO SAHIHI LAKINI NISIPO ANDIKA KAMA ILIVYO KWENYE KITABU MWALIMU ATANICHAPA SANA .wakuu ilinibidi nimpe moyo hivi: ANDIKA KILICHO SAHIHI UKICHAPWA KWA USAHIHI ULIO JIBU TAMSHTAKI ATAKAE KUADHIBU KWA KUKUONEA! kumbe kwenye vitbu ndo kuna uhaywani huo!
 
Hiyo inasikitisha sana. Yaani hata mtoto mdogo anajua kuwa hili ni kanyaboya lakini anahofukuandika ukweli!! Very sad!!🙁🙁🙁🙁🙁🙁
 
Madudu ni mengi tu hata kwenye Kiswahili ni utumbo
 
kwakwel nitakujibuje zero brain kama hapo unashindwa kuona hata kwa macho, nitakua najiaibisha bure na kuikosea heshima elimu yangu kubishana na mtu ambae anaona hivyo vilivyoandikwa hapo ni yametoka magazetini na pia anaona ya kwamba ua ama maua ni jamii ya wadudu
kwaheri zero brain ..bishana na mazero brain wenzio wa lumumba ambao na wao watatetea uziro brain huu.
Mwana ccm huyo mkuu, ni wale waliokunywa maji ya bendera hata kuona hawaoni, kusikia hawasikii shida tupu
 
Kwanza naomba kuuliza hivyo vitabu vinakuja na audio ta kusikiliza?

Pia ni maneno yako hayo au ya gazetini?

Kuna masahihisho pia kusaidia hata mwanafunzi akisoma gazeti ajue lipi ni lipi?
Yaani nilikuwa nasoma nasubiribmkosoaji mkuu aseme kitu kuhusu hiyo "listen" makosa ni mengi kiasi kwamba mengine utayaruka tu dah huu ni msiba mkuu nataka nijipatie copy ya vitabu vyote hivyo niwe naondolea stress kwa kuvisoma huku nikiviweka mbali na watoto!
 
Back
Top Bottom