Vichekesho ndani ya vitabu vya TET

Vichekesho ndani ya vitabu vya TET

Yaani nilikuwa nasoma nasubiribmkosoaji mkuu aseme kitu kuhusu hiyo "listen" makosa ni mengi kiasi kwamba mengine utayaruka tu dah huu ni msiba mkuu nataka nijipatie copy ya vitabu vyote hivyo niwe naondolea stress kwa kuvisoma huku nikiviweka mbali na watoto!
Kuhusu "listen" ipi 124 Ali ?
 
Mbona kuna mahali umehighlight kwamba ni makosa wakati wako sahihi.

Alafu huu sio usomi....uki pinga njoo na usahihi..
 
Ujiangalie wewe, umeshindwa kujibu maswali hayo ungepita kimya kimya tu.

Hata hayo yaliyochambukiwa hapo, mbona mengine yameachwa...basi andika wewe kivizuri...

Mfata mkumbo hujui chochote...eeeh
Acha jazba. Ona sasa na wewe unavyochapia Kiswahili!
"yaliyochambukiwa" ndiyo nini?
"kivizuri".

Ni kweli wamekosea na hii inadhihirisha ni jinsi gani hawakuwa makini katika kufanya hiyo kazi.
 
This was a planndd crime. Nakumbuka nilipokua s/msingi, tulikua tunachanguliwa wenye akili kusahihisha mabulungutu ya madaftari ya shule nzima. Nahisi waliwapa watoto wao watunge.
 
Look at the insects " is correct.

Look at these insects ndo wrong..
 
Acha jazba. Ona sasa na wewe unavyochapia Kiswahili!
"yaliyochambukiwa" ndiyo nini?
"kivizuri".

Ni kweli wamekosea na hii inadhihirisha ni jinsi gani hawakuwa makini katika kufanya hiyo kazi.


Eeeeh mleta mada kanijibu vizuri tu, hata kufikiria nje ya box juu ya kudonoa huwezi eeeeeeh jicheke tafuta lingine.
 
Tatizo elimu ni ya bure na siku zote vya bure..............
 
Kitabu cha darasa la ngapi hiki!?

Mapungufu yapo ndio ila not to that extent... Watch it.
 
Kitabu cha darasa la ngapi hiki!?

Mapungufu yapo ndio ila not to that extent... Watch it.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 seems like you are dreaming. Not to that extent? Boy! Can't you see the glaring evidence? By the way, that is not even the full extent. Nimeweka MACHACHE tu. Nimeacha kibao. Kuhusu ni kitabu cha darasa gani, kwani hujasoma thread ndugu yangu?
 
Back
Top Bottom