Vichekesho kumi za leo teh teh teh!!!


xaf xana huyo aliyeropoka hapo ana jfanya anajua a2nge yake bac co kujifanya mjuaji kumbe ni nothing 2 anachojua mij2 mingine bna.
 

huyo aliye ingia kwa tax uchi hela itakuwa kwa wap jaman mmh au ndo analipa kwa urodah teh?
 

Spot on! I concur with you Pota!
 
Ha ha ha haaa!mimi hiyo ya taxi driver,..ya heshima kubwa,..zmenikosha kweli!
 
Ngoja na mimi nikuongezee moja: Kama kuoga ni usafi kwa nini taulo huchafuka?
 
Hahahahaaaa 'Some Text missing too'
Lol nimeipenda hii ni kali sana
 
2.
Taxi Mwanamke aliingia kwnye tax akiwa hana nguo,km alivyozaliwa!Dereva akawa anamshangaa,mwanamke akamuuliza hujawahi kuona uchi au! Dereva akajibu.ninachoshangaa c uchi wako,najiuliza pesa ya kunilipa utakuwa umeiweka wapi?

HAPO KWENYE RANGI NYEKUNDU PANANITATIZA.......!!!!!!!!!!!!!!
 
aisee hii kali ndugu nimekubali
 
1. Mzee mmoja wa kipemba alimtembelea mwanawe Unguja, basi baada ya chai ya usiku babamwenye nyumba akamtuma mwanawe: 'mleteeni babu yenu tishu' babu bila kujua kitu gani analetwa akasema.
BASI JAMANI NSHASHIBA HIO TISHU NAJA ILA KESHO.
2. MUME BAGHILI.
Mke alimfuata mumewe na kuanza kumwambia maneno matamu akitaka anunuliwe viatu.
Mke: 'darling jana nimeota umeninunulia viatu vizuri'
Mume nae akajibu:'haya na leo ota unavivaa enhe!?'
3. Jamani mnajua km kifo noma?
Familia moja ilivamiwa na majambazi, kabla ya kuiba yakapanga kuwaua wote ila kwanza yakaamua kuwauliza maswali.
Jambazi: we m'ke unaitwa nani?
M'ke: mi naitwa grace:
Jambazi: we una jina km la mama yangu umesalimika sitokuua tena.
Jambazi: we m'me unaitwa nanai?
M,me: mi naitwa Emmanuel ila kazini wananita grace!!
4. Son: dad what should I give to my girlfriand as a VALENTINE GIFT?
Dad: what does she look like?
Son: she's pretty, sweet, sexy, funny to be with and she is good in bed
Dad: give her my mobil numb.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…