Wa nyamadyaki
JF-Expert Member
- Mar 6, 2013
- 1,178
- 529
Dini zingine bana wanauakika gani kama hiyo nikatuni ya Bwana Muhammad wakati hakuna anemjua
Muhamadi kwa Picha ,kweli hii dini wanaulemavu waakili
Hivi wewe unaesema waislamu wana ulemavu wa akili, hivi hapa kwetu unaweza chora katuni ya Raisi na ukamuandika jina lake katika hiyo katuni ukamwuelezea vibaya.Dini zingine bana wanauakika gani kama hiyo nikatuni ya Bwana Muhammad wakati hakuna anemjua
Muhamadi kwa Picha ,kweli hii dini wanaulemavu waakili
Hapana siyo kweli.ukisema hivyo unawatukana waumini.Wewe baki na dini yako na wao wabaki na dini yao.
Hivi wewe unaesema waislamu wana ulemavu wa akili, hivi hapa kwetu unaweza chora katuni ya Raisi na ukamuandika jina lake katika hiyo katuni ukamwuelezea vibaya.
Nasema achorwe tu maana hakuna namna nyingine.
Dini zingine bana wanauakika gani kama hiyo nikatuni ya Bwana Muhammad wakati hakuna anemjua
Muhamadi kwa Picha ,kweli hii dini wanaulemavu waakili
Hiyo ndiyo upendeleo au double standard wa nchi za Magharibi na Umarekani, unaweza ukatukana au ukachora katuni za viongozi(Mitume) wa dini na ukawakashifu, inayofuatwa na mabilioni ya watu ulimwenguni kwa kisingizio cha free speach, lakini unaweza ukafungwa jela kwa kuuzungumzia vibaya uteketezwaji wa wa Waizraeli uliotokea nchi za Magharibi.
Kwa dhambi ile ile waloipata walochora ndo unayoipata wewe msambazaji.Mjaa lana wewe.
.
jamaa bana,eti huyo wa mbele ni mungu,halafu wa nyuma yesu(cheki alama za misumali miguuni na mikononi,kisha taji).
halafu kwenye masabuli ya yesu kuna pembetatu ya freemasoni.
jamaa watata
Kuna mkina Muhammad's wengi duniani , wegine ni walevi , vibaka ,wazinzi , na wengine ni Mashoga kama unti Mudi
Sasa wanauhakika gani kama anechorwa ni huyo Mudi wa kwenywe kitabu vha Hadith
Acha kudhihaki mitume wa dini za wenzako wee rojo.