Anaweza akaona kama utani lakini hii ndio itakayomsaidia wamasai hua hawapendi upuuzi upuuzi ukiingia kwenye anga zake unakua mfano kwa wengine. Ni dhahiri kuwa eneo analoishi ni sugu kwa wezi!!!Weka mmasai hapo mkuu, au nipe hiyo kazi!
Ongeza uzio huo funga na umeme juu.Uzio nimeweka mpaka nimeongeza ukuta kuwa mrefu ila tatizo upande mmoja nimemaliza eneo sijaweka uzio.
Kibaha nipo
Piga tizi, jenga kifua tembeza kichapo mtaani ujenge jina.
Hapo ni kwa mfipa almaarufu manzese mkuuHiyo kibaha itakua ya kongowe labda.maana kibaha sehemu nyingi imestaharibika
Masaai wanafanana akichonga dili je then akakimbiaWeka mmasai hapo mkuu, au nipe hiyo kazi!
Wakifa polisi watamfanya mtaji mkuu...Kwa nini wasife, inatakiwa wafe ili heshima irudi....
Akifuga Blackpentha ?Uzio na mbwa siku hizi Kuna namna wanafanya Hawa vibaka unakuta tu asubuhi mbwa wamerest in peace na vijana wameshajichagulia vitu vyao.
kwa iyo ukivamiwa na majambazi nyumbani kwako uwaache tu wakuibie? bunduki kwa hiyo zinauzwa kwa ajili ya urembo tu....hukusikia yule mwanamke wa geita alieua majambazi akapewa zawadi na polisi?Wakifa polisi watamfanya mtaji mkuu...
Hii mbinu iliwahi kuchukua Uhai Wa mtu pia..Mkuu nunua gun hata kibastola kidogo, vibaka huwa hawatoki mbali ni hapohapo mtaani. Sasa unatakiwa ufanye watu wajue unamilliki gun kivipi?.
Ukishanunua wewe amka usiku hata sa6 wengi wanakua hawajalala huu muda, piga bastola juu paah! Paaahh! Huku unaongea kwasauti Pumbavu sana nyie, washenzi nyie, mnabahati sana.
Ndugu yangu nakuhakikishia hapo mtaani heshima inaongezeka sana wataambizana kama upo uswahilini taarifa zinatembea sana hao vibaka hawaji sogea tena, gun inaogopeka sana. Ukipita mtaani watakua wanakuangalia tu huku wanaoneshana vidole[emoji28][emoji28].
Hii mbinu aliitumiaga babu yangu wakt anaamia mbagala enzi hzo vibaka kma wote, alifanya hvo toka sikuhyo ni heshima alloohhh
Nimejitahidi njia nyingi saana kuweza kukabiliana nao imekua ngumu. Naombeni msaada kiukweli nimefeli.
Juhudi chache
Nimejitahidi kuishi kama mlinzi kuamka usiku mara mbili na kuzunguka nyumba.
Ila leo saa mbili nimetoka kwenda dukani ndani ya saa moja narudi watoto wananiambia dirisha limefunguliwa na pazia kuanguka, nimefatilia nikagundua wamekuja vibaka wameiba vitu vichache.
Msaada wa mawazo tafadhali.
If you can’t beat them, join themNipo kwangu ila naishi bila raha
Chukua unyayo wao kaka, weka mchanga njia wanazopita ul unyao wa mmoja wao ndo dili, wataogopa nyumba. ukiwa nao niambieNimejitahidi njia nyingi saana kuweza kukabiliana nao imekua ngumu. Naombeni msaada kiukweli nimefeli.
Juhudi chache
Nimejitahidi kuishi kama mlinzi kuamka usiku mara mbili na kuzunguka nyumba.
Ila leo saa mbili nimetoka kwenda dukani ndani ya saa moja narudi watoto wananiambia dirisha limefunguliwa na pazia kuanguka, nimefatilia nikagundua wamekuja vibaka wameiba vitu vichache.
Msaada wa mawazo tafadhali.