Vibaka wananisumbua sana mtaani, nifanyeje?

Vibaka wananisumbua sana mtaani, nifanyeje?

Na kama ana mwili kama akina The Monk hata umnyweshe korie mapipa Tisa haongezeki afanyeje?

Uzio na mbwa siku hizi Kuna namna wanafanya Hawa vibaka unakuta tu asubuhi mbwa wamerest in peace na vijana wameshajichagulia vitu vyao.
Mbwa wakifa wanauma sana jamani.
 
Ushilikiano ni mzuri kwa wote mfano sisi tunachoma mototu hata juzi tumechoma mwizi ama kibaka akitorosha ng'ombe
 
ishi nao kwa amani hapo mtaani , ukiwapita usivunge wasalimie , waachie buku mara moja moja watakuwa walinzi wa sehemu yako ata vibaka wengine wakija hao ndo watakusaidia kuwapata
 
ishi nao kwa amani hapo mtaani , ukiwapita usivunge wasalimie , waachie buku mara moja moja watakuwa walinzi wa sehemu yako ata vibaka wengine wakija hao ndo watakusaidia kuwapata
comment bora kabisa
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Weka mwanga wa kutosha hilo eneo lakini pia weka CCTV
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Uzio nimeweka mpaka nimeongeza ukuta kuwa mrefu ila tatizo upande mmoja nimemaliza eneo sijaweka uzio.
Kibaha nipo

Fuga mbwa mzee baba, unawatoa usiku tu...
 
Nimejitahidi njia nyingi saana kuweza kukabiliana nao imekua ngumu. Naombeni msaada kiukweli nimefeli.

Juhudi chache

Nimejitahidi kuishi kama mlinzi kuamka usiku mara mbili na kuzunguka nyumba.

Ila leo saa mbili nimetoka kwenda dukani ndani ya saa moja narudi watoto wananiambia dirisha limefunguliwa na pazia kuanguka, nimefatilia nikagundua wamekuja vibaka wameiba vitu vichache.

Msaada wa mawazo tafadhali.
hapo inabidi uanze naye mmoja ili iwe fundisho kwa wengine

ukipata mmoja mkalishe kwenye mkaa wa moto au jiko la umeme, akitoka hai akawasimulie wenzake, utamu wa kuwa kibaka.
 
Ina uzio niliongeza hadi kozi za tofauri ili wasiruke ukuta ila upande mmoja ndio hakuna uzio kwahiyo wafungua dirisha upande huo
Kama ni nyumba yako jenga uzio ukamilike mpaka juu, ongezea waya wa miba juu ya fensi na weka mbwa wawili.
 
Inaonesha Mkuu hauthamini hata maisha yako mwenyewe.

Sipati pointi yako ya kutoka nje usiku, ili ufanye nini, ukabiliane nao?....kisa tu unataka kulinda TV na simu?.

Hao Wajinga watakudhuru au hata kukuua kabisa ukaacha familia yako...Mtu anayethubutu kwenda Nyumba ya Mwingine usiku usidhani kama atahitaji muda wa kukabiliana na wewe zaidi ya kutaka kutumia silaha aliyokuja nayo akudhuru ili anusurike aondoke salama.

Hata kama unajiamini kwa uwezo wa kukabiliana bado inabaki 50 kwa 50, sasa kwa nini kuhatarisha maisha yako dhidi ya Mwenzako asiyethamini ya kwake na kudiriki kuzunguka nyumba za Watu usiku?.

Cha msingi hapa ni kushirikiana na Majirani zako na kuogeza uimara wa milango na madirisha ya nyumba yako.
 
Hii mbinu iliwahi kuchukua Uhai Wa mtu pia..

Alipogundulika kuwa anamiliki Bastola, Wazee wa kazi walimvamia Jioni ya saa Moja, hakuwa amejiandaa; wakamlazimisha awapatie Bastola yake, alivyoonyesha kugoma goma Jamaa wakamlima Shaba kisha wakatokomea.. Kumbe lengo lao waliitaka silaha yake ili wakaitumie kwenye Uhalifu..
Kweli, mambo ya silaha sio mchezo mchezo, hata wakijua unayo basi hata mchana muda ambao haupo wataivizia wala huku. Ni Hatar pia kwenye familia endapo kuna mtu mlevi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom