Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 14,116
- 30,265
Mzuka wanajamvi!
Vibaka Tehran nchini Iran wametoboa ukuta wa benki kutokea kwenye jenho lililo karibu na benki iyo nakuiba maboksi 280 (safes) zenye pesa na Vito vya thamani.
Wezi hao walichukua fursa (advantage) ya siku kuu ya siku tatu iliyokuwa ikiadhimishwa nchini Iran kufanya wizi huo katika branch kubwa ya benki inayomilikiwa na serikali Benk Melli Iran.
Ijawekwa wazi ni kiasi gani cha fedha au vitu gani vya thamani lakini maboksi (safes) zaidi ya 250 ziliibwa.
Polisi na meneja wa Benki wamelaumu kitendo hicho cha wizi nakudai umeleta uharibu wa kawaida tu.
Walipovunja ukuta Alarm ilipiga na ilimfikia meneja lakin akapuuzia kwasababu mara kwa mara 'fake alarm' Italian polisi wakienda wanakuta hamna tukio lolote.
Wezi hao pia walinyofoa na kuiba CCTV zote zilizokuwa kwenye benki iyo hadi kwenye mtaa maarufu karibu na chuo kikuu cha Tehran (UDSM Yao) ambayo ni mwendo wa kutembea tu karibu na kituo cha polisi.
Hadi navyoposti uzi wameshakamatwa washukiwa 13 walihusika na wizi huo.
Soma zaidi kwa kiingereza posti number moja hapo chini.
Senior JF middle east correspondent and analysts.
Masters!