Vibaka eneo la karibu na Magufuli UDSM hostels

Vibaka eneo la karibu na Magufuli UDSM hostels

hizo naona zimezagaa sasa, hadi mitaa ya morogoro mjini watu wanakatwa mapanga, wanakabwa na kuibiwa muda kuanzia saa mbili (2) usiku. inasemekana pia hao vibaka wanakuwa nane, hivi vikundi sijui nani anaviratibu, ni vijana wadogowadogo wala si wakubwa kwa umri ama muonekano. tujitahidi kujilinda naona serikali na jeshi la police wapo busy na mambo yao ya kisiasa


Wale wanaopokea fedha ya kusafisha viatu wakapokee na kwa hao
 
Ni kweli,kuna Dada alichomwa kisu hapo hapo maeneo ya mataa ya kivulini
 
Eneo hilo lina wapiga kabali hatari....
Kama gymkhana vile

Ova
 
Police wekeni mtego na muwakamata ikuwezekana kuwamaliza kabisa.
 
Makonda atawachukulia hatua watu wa usalama pengine maana hataki kusikia malalamiko siku raisi akija fanya ziara
 
Wiki zilizopita kuna dogo kapigwa panga la kichwa maeneo hayo hayo ilikuwa kama saa3 usiku hivi
Alikuwa anatoka Mlimani city anaelkea hostel magufuli.
Kuweni makini vijana hayo maeneo ni balaa
 
Huyu dogo kapigwa panga hayo maeneo wiki mbili zilizopita
7c5ec5717be846fff6d26dc6f1ebd830.jpg
 
Vijana wa siku hizi mmekuwa lege lege mno. I remember in 2007 when I was a young student there, I was escorting a girl I was chasing on her way to Sinza. Tulikuwa tunashukia na ile road ya hosiptali, tunakatisha uchochoro kuelekea kwenye mabwawa ya maji machafu then tunatokea kwenye kale ka geti kaliko kule karakana ya ujenzi mida ya saa nne usiku. Then narudi kwa mguu saa tano usiku nakatiza lile pori peke angu bila uoga.

Watoto wa siku hizi ni Chips Mayai - Hawawezi hayo Mambo.
 
Wale wanaopokea fedha ya kusafisha viatu wakapokee na kwa hao
nadhani maana ukizungumza na baadhi ya wananchi wanadai kuna vibaka wanawakamata wanawafikisha huko police...cha ajabu hao mabwana wanawahonga sana police kiasi kwamba mda mfupi mnamuona kibaka wenu amerejea mtaani. Na hali ya kiuchumi ya sasa, basi wananchi wanaapiza wakibahatika kukamata kibaka hawatapeleka tena mtuhumiwa police badala yake atamalizwa....police watakuwa wanafika kuchukua maiti tu!. vita imehamia kwa wananchi Vs vibaka, kibaka akikubahatisha kwenye kona anakupa mapanga na kukupora kila kitu, na wananchi wakibahatika kukamata mwizi/kibaka nao wanaua jumla. hii ndio vita iliyopo kwasasa
 
Vijana wa siku hizi mmekuwa lege lege mno. I remember in 2007 when I was a young student there, I was escorting a girl I was chasing on her way to Sinza. Tulikuwa tunashukia na ile road ya hosiptali, tunakatisha uchochoro kuelekea kwenye mabwawa ya maji machafu then tunatokea kwenye kale ka geti kaliko kule karakana ya ujenzi mida ya saa nne usiku. Then narudi kwa mguu saa tano usiku nakatiza lile pori peke angu bila uoga.

Hahaha Mkuu ukute wewe kibaka sasa unatuhamasisha kupita hayo maeneo yako ili ufanye yako!
 
Back
Top Bottom