CHE GUEVARA-II
JF-Expert Member
- Jun 17, 2010
- 571
- 157
Wadau, nitapata wapi mbegu za viazi vitamu vya aina mbalimbali?
(Nataka vile vya njano, vya pink, vyeupe n.k)
Niko Natumbo.
Sehemu yoyote kulipo na mbegu nitafanya utaratibu wa kuzipata
Nahitaji za kutosha kupanda ekari 2 tu!
(Nataka vile vya njano, vya pink, vyeupe n.k)
Niko Natumbo.
Sehemu yoyote kulipo na mbegu nitafanya utaratibu wa kuzipata
Nahitaji za kutosha kupanda ekari 2 tu!