Viatu vyamtumba kwa belo

Viatu vyamtumba kwa belo

Bro acha masihara na Biashara za watu 200,000/= ni mtaji wa mmachinga tuu anaetembea na pair zake 5/8 kwenye begi

Kufungua belo ukiwa na 20m uje hapa kuomba ushauri
Less than that kwa Morogoro hyo hela utajutia Maisha yako yote
Belo 1 milion 20???? Wewe jamaa acha kukatisha watu tamaa. Nyie ndo wale wachawi ambao hamtumii tunguli
 
Kuna Jamaa pale Wanafanya poa sana Kwenye Mtumba kwa Morogoro Haruna, Mussa, PJ Stores, Urassa
Hao ndio wanakimbiza ukiwachek utapata ABCs

Kwa Viatu vya kupoint huyo PJ Stores ndio Bingwa wao hapo Morogoro kwa Viatu vikali Mkoa Mzima
We jamaa kwa comments zako,we ni maskini wa fikra na kipato.
 
Belo 1 milion 20???? Wewe jamaa acha kukatisha watu tamaa. Nyie ndo wale wachawi ambao hamtumii tunguli

MANIAJE Belo moja ni 150,000-1,500,0000 kutegemea na quality & aina ya Viatu
20m zinatakiwa ili awe na mchanganyiko mzuri na capital Nzuri ili asipate tabu
Lazima ununue viroba kuanzia 5 ili uwe na mzigo wa kutosha
Bello ni pair 40-90 kutegemea na aina ya mzigo
Huwezi kufungua bello 1/2 ukapata faida utakatika kijana
Hizi ni field data (Sio maneno ya Motivational Speakers)
nilishawahi kufanya hii Biashara na Mpaka sasa nafanya hapa Mbeya over 10 years
 
Belo ni 600,000/- mpaka 1,000,000/-
kutegemeana je unataka belo la ma shoe ya nguvu au vi simples simple?
nakushauri kwa mtaji huo nunua simple kwa 4000/- mpaka 5000/-
ili uuze 8000/-mpka 15000/- jinsi kichwa kitakavyojitokeza au (pimbi)
200,000/- gawa kwa 5000/- ni pair 40 anza nazo kwanza./kama upo mbali tuwasiliane kwa mawazo zaidi
 
Asante kwa wazo lako zuri na muhmu na nitapataje mawasiliano na wewe
 
Kuna Jamaa pale Wanafanya poa sana Kwenye Mtumba kwa Morogoro Haruna, Mussa, PJ Stores, Urassa
Hao ndio wanakimbiza ukiwachek utapata ABCs

Kwa Viatu vya kupoint huyo PJ Stores ndio Bingwa wao hapo Morogoro kwa Viatu vikali Mkoa Mzima
Huyu PJ ofisi yake iko maeneo gani hapo Moro, siku 1 tumtembelee?
 
Write your reply...Kwanza kbs nikupongeze kwa kuthubutu.Biashara ya Viatu inalipa sana km uko serious.Jambo LA maana anza kwa mile ulichonacho na jiamini utaweza.Laki mbili ni pesa ndefu sn km utaamua kuvumilia.Nasema hayo kwasababu ninauzoefu ktk biashara hii kwa muda sn.
Nina option 2 juu yako kuhusu biashara hii.1.Km utaanza na hiyo laki mbili nenda dar ulizia kitumbini kuna wahindi wanauza baloo za bei ndogo sana kuna baloo zinaitwa mafua, hizi ninzuri kwa kuanzia being yake laki moja zinaujazo was pea 50 .
jaribu kufanya hivyo utaona faida yake au nicheki DM kilolah@gmail.com nikupe ujuzi .
atafaulu tu kuwa serious bro
 
Back
Top Bottom