Viatu vyamtumba kwa belo

Viatu vyamtumba kwa belo

HULK MAN

Member
Joined
Oct 9, 2019
Posts
9
Reaction score
3
Niaje wadau hivi ni wapi naweza pata viatu vya mtumba vya kiume grade one kwa belo na bei yake ipoje?
 
Mkuu bado umpe info wapi atapata mzigo, kama ndo mara ya kwanza je kufanya
 
Kama upo Dar nenda ilala asubuh utapata mkuu ila asubuh sn kwenye saa kumi na mbili hv pale kwenye lile soko jipya
Niaje wadau hivi ni wapi naweza pata viatu vya mtumba vya kiume grade one kwa belo na bei yake ipoje?
 
Sikushauri ununue belo badala yake yaribu kuchagua kwa wanaofungua Upate ile cream tu hiyo itakusaidia kupunguza zile lonya na anza na Viatu vya wadada utapiga hatua #belo achana nalo kbs
Nashkuru kwa ushauri wako asante
 
Bado namake capital kwa sasa nna 200,000/ je naweza anza boss

Bro acha masihara na Biashara za watu 200,000/= ni mtaji wa mmachinga tuu anaetembea na pair zake 5/8 kwenye begi

Kufungua belo ukiwa na 20m uje hapa kuomba ushauri
Less than that kwa Morogoro hyo hela utajutia Maisha yako yote
 
Kuna Jamaa pale Wanafanya poa sana Kwenye Mtumba kwa Morogoro Haruna, Mussa, PJ Stores, Urassa
Hao ndio wanakimbiza ukiwachek utapata ABCs

Kwa Viatu vya kupoint huyo PJ Stores ndio Bingwa wao hapo Morogoro kwa Viatu vikali Mkoa Mzima
 
Back
Top Bottom