SILENT WHISPER
JF-Expert Member
- Jun 26, 2009
- 2,209
- 824
free mason uyo. Embu mwenye picha ya lile bati analovaaga kwenye bichwa lake
MKUU ULITAKA AVAE KICHWANI LILE BOMU ALILOKUWA ANAVAA MWAMEDI..?? the harder they come ....the harder the go...!
free mason uyo. Embu mwenye picha ya lile bati analovaaga kwenye bichwa lake
Kwa mtizamo huu mkuu inawezekana ndivyo ilivyokubaliwa katika taratibu zao kuwa pope ni lazima avae viatu vyekundu. Na kwa wakristu mavazi ya rangi ya damu (nyekundu) inamaanisha kujitoa kwa wale waliokufa kwa maisha ya kuupigania ukristu kama wale mashahidi wa Uganda!!! Kama wewe mkatoliki utafahamu ninachokisema.Na mdada wa kuvitunza kaajiriwa
![]()
Hapa 1st lady ndio amejitahidi kweli kutafuta ngua ndefu!!
Mkuu the Pen!!! First Lady Michelle Obama ni fashion icon na huwa anavaa mavazi marefu kwa zaidi na mafupi ni kwa mara chache sana!! Jaribu ku-google mavazi yake utapata ushahidi!! Penye ukweli tuseme!!
![]()
Ni kiatu Tu cha kawaida
Kwa wale wadau na wajuzi wa hii Taasisi ya Vatican, hiki kiatu kina significance yoyote au ni mtoko tu wa kawaida?
Nijuzeni
SourceView attachment 84831
Papa?papa gani anavaa kanzu bhana?
The tradition of the popes wearing red shoes were carried over from the customs of ancient Rome itself. In fact, by the time of the Byzantine Empire only three people are allowed to officially wear red shoes in the empire: the Emperor, the Empress, and the Pope. Even in art, depictions of people wearing red shoes are severely restricted to the above-mentioned or the angels.Kwa mtizamo huu mkuu inawezekana ndivyo ilivyokubaliwa katika taratibu zao kuwa pope ni lazima avae viatu vyekundu. Na kwa wakristu mavazi ya rangi ya damu (nyekundu) inamaanisha kujitoa kwa wale waliokufa kwa maisha ya kuupigania ukristu kama wale mashahidi wa Uganda!!! Kama wewe mkatoliki utafahamu ninachokisema.
mnamuongelea papa gn yule wa baharini au papa m2?
sioni sababu ya kuzua maswali mengi hivyo,papa ni kiongozi mkubwa sana wa kiimani duniani na mara nyingi watu kama papa huvaa vitu vinavyolingana na tafsiri za kiimani.na hapo ndipo ilipo maana ya muuliza swali.anataka kujua kama vina uhusiano wa kiimani au kimamlaka ya upapa baasi.sasa nashangaa watu mnahamaki na kutoa tafsiri za ajabu ajabu sio kila mtu anajua kila kitu katika kila wakati.lengo lako ni nini haswa?
Hizi picha za maustadhi unasemea ni za pope? Acha uongo kama vipi weka picha nzimaKwa wale wadau na wajuzi wa hii Taasisi ya Vatican, hiki kiatu kina significance yoyote au ni mtoko tu wa kawaida?
Nijuzeni
SourceView attachment 84831