Viatu vya Pope Benedict XVI

Viatu vya Pope Benedict XVI

unatania eh!?
Cha msingi mkuu Mentor sio kujua vinafanana na vya nani bali kama kuna significance yoyote juu ya design na rangi


That was a joke..ila nilivyoviona tu nikakumbuka vya askari magereza!

Ila significance kwa kweli...nangojea kujifunza kwa wengine!
 
naanza kupata maswali zaidi ambayo huenda yakapelekea kutafiti zaidi ili nipate jibu. Nasikia huyu mpya Pope Francis naye kaja na style yake! shoe pope.jpg
 
Freemason indeed,ipo wazi kabisa.
Angalia Utube :NEW WORLD ORDER.THE DEVIL IN THE VATICAN!!
 
Haya tumeshaona, sasa tupe na kibuti cha Mkuu wa upande wa pili, maana sijaona maandamano kwa muda mrefuuu.
 
_66100088_f088ka4h.jpg

Halafu leo Pope kavaa suti kapendeza ( .. ameachana na ile unfashionable kanzu/joho)
Mkuu Cynic ile kanzu sio unfashionable kama unavyojua wewe.Lile ni vazi rasmi la kikanisa(Kanisa Katoliki) tena mahususi kwa papa tu.Zaidi ya yote lina mashono.
 
Pope Francis yeye ameamua kuvaa black!!! Tulitegeme siku anaapishwa angevaa red but in vain!! Aise huyu papa atakuwa Pope Peculiar!!
 
Back
Top Bottom