miss_mbeya
JF-Expert Member
- Mar 24, 2015
- 1,072
- 1,022
mmmmh! gwakukaja fyofiki !?????
Mma ikufuana akamanyapo ikibhusu hujho ghwakukajha
mmmmh! gwakukaja fyofiki !?????
Ushanisoma e...Hahahaa hizo zitakuwa limousine za uhakika unakodi unazunguka jijini maana mpaka jacuzzi limo
Mma ikufuana akamanyapo ikibhusu hujho ghwakukajha
Aisee huyo dada kajaaaliwa sidhani km anaenda msalani
Hahaahha lazima aende labda awe anakula hewa tu
Huo ubeaty wa mguu hauendi msalani labda special msalani kam kwene ndege vile hapo sawa
Na mi naona maana kajaaliwa
Umeona ee
Usiwe unamzidi kwa u miss :thumbup:
Hapana hili jina la jf tu ndugu ukiniona kidogo naweza fanana na mh.pm si unajua watu wa mbeya?kunathread ya mikoa inayotoa wasichana wazuri mbeya hakuna kabisa
Hiki kiswahili huwezi kukiongea ukweni!!!Sasa mbo amevaa mtu tayari?