Viatu vinakodishwa kwa wiki 200,000 tu

Viatu vinakodishwa kwa wiki 200,000 tu

Black Sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
35,285
Reaction score
61,267
1426587294381.jpg
 
Unakodisha na miguu yake pia au anavua viatu.Kama na miguu hapo sawa
 
Wapo kweli wanaokodi?!

Si bora ununue vya kwako
 
Wapo kweli wanaokodi?!

Si bora ununue vya kwako

Kuna watu badala ya kununua kwa £700 kama hicho anaamua kukodi siku ya harusi na kukirudisha baada ya wiki, hata wanaume ulaya wanakodi sana suit lakini usiombe jamaa akaiunguza kwa fegi imekula kwako
 
Sawa na wale wanaokodi magari ya kifahari kwa ajili ya kupigia fimbo mwishoni mwa wiki wakati mtu gari anayo
 
Sawa na wale wanaokodi magari ya kifahari kwa ajili ya kupigia fimbo mwishoni mwa wiki wakati mtu gari anayo

Hahahaa hizo zitakuwa limousine za uhakika unakodi unazunguka jijini maana mpaka jacuzzi limo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom