Viatu challenge

Huyo jamaa namuonaga kwenye threads nyingi akitoa majibu ya majidai/as If yeye ndio mjuaji wa kila kitu. Hata kwenye threads za jokes yeye anajifanya kuleta u-serious/ujuaji mwingi/umarekani mwingi.
Mbona easy tu anaweza akapita kimya kimya kama hajapendezwa na uzi.

Nahisi hazijatimia & nimemdharau rasmi kuanzia leo.
 
Hahaha msamehe pacha wangu, watu waliozoea kushika pesa huwa hawajui kuwa kuna maisha nje ya pesa
 
Mnachukulia mambo serious sana hata pale ambapo sio lazima
 
Jamaa yup Boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…