Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 25,620
- 69,356
Mie nilivichukia kitambo sana hutwo tuviatu na wavaaji wake wana tabia mfanano kabisaaa ninao madogo wanatwo basi ukikuta wameongozana........utacheka ukufwe๐๐๐๐๐๐๐
Siku ya kwanza kuviona hivyo viatu nilistuka, nilijua paka kalala juu ya mguu wa msichana, kumbe fashion.



