wale jamaa wanakuaga na makobasi fulani hivi , au vile viatu vilivyoisha soli upande[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ati nina bodaboda wangu!![emoji23][emoji23]
Tunakuja ila hatujala[emoji1787][emoji1787]
Mkuu umesahau wale wa hiyo hela tuma kwenye namba hii..
Mara ya mwisho ukiwa umezaliwa[emoji38][emoji119]Copy & pasteView attachment 1407841View attachment 1407842View attachment 1407843View attachment 1407844View attachment 1407845View attachment 1407846View attachment 1407847View attachment 1407848View attachment 1407849View attachment 1407850View attachment 1407851View attachment 1407852View attachment 1407853View attachment 1407854View attachment 1407860View attachment 1407861
hii suti nimevaa sana,tokea enzi za kipaimara,mpaka sikukuu nyingine za dini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Kila mtu ashinde mechi zake mkuuHuu ubunifu mngeutumia kuzalisha mali mngekuwa mabilionea ππππ
Kwani wewe huwa huvai hiyo type mkuu ?Halafu mmepatia kweli yani hasa hutwo twa manyoya wavaaji wake wana mashauzi balaa ukute kafuga na kucha sasa ukipishana nae km kitoto cha bata kinaogelea kwenye dimbwi la tope
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni hivo basi humu hamnazo wamejaa wengi sanaKabla hujapost Uzi angalia kwanza humu upo au haupo. Kurudia rudia vitu mtakuja kuonekana hamnazo.
Acha kiherehere..... Huu Uzi umeamishiwa hapa kutokea huko tulikokuwaKama ni hivo basi humu hamnazo wamejaa wengi sana
Sawa mpenzi naacha. Ila kiherehere cha chumbani siachiAcha kiherehere..... Huu Uzi umeamishiwa hapa kutokea huko tulikokuwa
Na huu uzee rafiki yangu si nitachekeshaKwani wewe huwa huvai hiyo type mkuu ?
Si kuna wazee vijana,wao huwa hawapitwi na kituNa huu uzee rafiki yangu si nitachekesha
Huu ubunifu mngeutumia kuzalisha mali mngekuwa mabilionea ππππ
Mi ni mzee naepitwa na fashioniSi kuna wazee vijana,wao huwa hawapitwi na kitu
leteni za awamu ya 5,wanazingua
Nitajitahidi kukufanya uendane na kasi ya awamu ya 5Mi ni mzee naepitwa na fashioni