Huu hapa nimeuona. Ila zangu sijatoa hapa
#YNWAShogaaa wanaume siku hizi hawaeleweki, we tafuta mwenye hela tu View attachment 1407342
Sent using Jamii Forums mobile app
#YNWAHuu hapa nimeuona. Ila zangu sijatoa hapa
Chako ni kipi mkuu[emoji23]Hili nalo litapita.
worry out jazia kama zipo😂😂😂😂😜Huu hapa nimeuona. Ila zangu sijatoa hapa
Hapo sawa kaurudia aisee.Kabla hujapost Uzi angalia kwanza humu upo au haupo. Kurudia rudia vitu mtakuja kuonekana hamnazo.
MsameeKabla hujapost Uzi angalia kwanza humu upo au haupo. Kurudia rudia vitu mtakuja kuonekana hamnazo.
Niruhusu na mimi nikuchekeshe
[emoji23]washikaji wanaovaa hivi viatu wana roho za kwanini kinyama View attachment 1407372
Sent using Jamii Forums mobile app
utasikia "baby mimi sinywagi bia za tanzania, nakunywa henesi"Binafsi nikiona mwanamke yupo na hivi vitu viwili, alarm ya hatari huwa inalia kichwani [emoji23][emoji23]View attachment 1408292
pole kwa kuumia roho bibie..wewe ngoja nakutafutia kiatu chakoKabla hujapost Uzi angalia kwanza humu upo au haupo. Kurudia rudia vitu mtakuja kuonekana hamnazo.
[emoji23][emoji23][emoji23] kimbia mama nakufaaaaaaaBinafsi nikiona mwanamke yupo na hivi vitu viwili, alarm ya hatari huwa inalia kichwani [emoji23][emoji23]View attachment 1408292