- Ulipokwenda delloitt uliambiwa wiki mbili- ukaja kuitwa baada ya miezi kama minne. Safari hii tena wamesema baada ya wiki mbili. Utaitwa lini?
(a) Baada ya wiki mbili kweli________________________________________________________________________
(b) Walishaita [ ]
(c) Mwezi wa sita au wa saba
Akili zako unachanganya na za kuambiwa...........
Mh! ila ndugu kwenye subira hapa ndo muda muafaka wa vimemo kupita na wengine kupigwa chini.Beware!!:nerd:
Ni kweli,vuta subira,anwani,namba za simu nk zinatakiwa ziwe zile zilizo inuse anytime,siyo wakupigie hupatikani,kwani wabongo kwa kubadili line hatujambo!
Lakini pia kumbukumbu yako hubaki kwa muda mrefu.nakumbuka jamaa yangu aliitwa kuanza kazi baada ya miaka 3,akiwa tayari kaajiriwa,lakini akatoa notisi ya saa 24,alikoajiliwa,akaenda kule alikoitwa,ambako alifanya interview miaka 3,ilopita.nashauli vuta subira,lakini tuache contact za kudumu tunapotuma maombi ya kazi nk.
Mwakalingaeli! Hapo nilipo-pabold panakatisha tamaa! Sasa miaka mitatu ntakuwa bado nafiti kwa post niliyofanyia interview??? Hata shule yangu haitakuwa km niliyonayo sasa... Km nina bachelor, baada ya miaka mi3 ntakuwa na masters au nipo nafanya PhD! Kama ni mtu unayekua, post uliyoiomba leo baada ya miaka mitatu haikufai...Otherwise utakuwa underutilised! Najiuliza hata salary milyonegotiate miaka mi3 iliyopita... ha ha ha! - But I also agree kuwa subira yavuta heri.
Siku, wiki hatimaye miezi imepita... mwenye taarifa atujuze jamani ... au ndo hivyo ilibidi tujue kuwa pakionekana manyoya basi ameshaliwa tayari?
Mh! kama bado watu hawajaitwa basi itakuwa Juneeeeee! Ndo kuanza kazi au July baada ya mwaka wa fedha kuanza. Sasa hapa hadi waite utakuta watu wengi washapata kazi sehemu nyingine .Toka interview ya kwanza iam sure miezi sita ishapiata.:scared::decision::A S 109:
Jamani nimepata habari kutoka kwa reliable source kuwa interview ya pili ilikuwa na umuhimu sana (pengine zaidi ya ile ya delloite) na kuwa most of the interviewees waliperform below the set minimum passmark! Very few have been contacted and will probably report at their duty stations in Early May.
Expect more updates
Duh! so kwa ambao hatujapigiwa simu ndo tusha pigwa chini.:A S 109:
Duh! so kwa ambao hatujapigiwa simu ndo tusha pigwa chini.:A S 109:
kama kuna watu walifanya vibaya then.lets hope wale reserve list nao wataitwa wapewe mafasi yakujieleza
Wandugu wa JF , kwa wale waliofanya second interview VETA; Nakumbuka walisema watawajulisha watu in two weeks.Je kuna waliojulishwa??maana two weeks imeisha toka last week na sasa tupo week ya tatu. Naombeni mnihabarishe jamani usikute watu na kazi washaanza.