'Vestiges' kwenye miili ya wanyama, ushahidi tosha kwamba hatukuumbwa, bali tuli-'evolve' kuwa tulivyo

Kwahiyo kazi ya Appendix ni kujaa? Kujaa huo si ni ugonjwa unaitwa ‘Appendicitis’? Tangu lini ugonjwa ukawa ndio function ya kiungo?, Kwani ukiikata appendix unapungukiwa na function yeyote katika mwili wako?
Nadhan ushajua kuwa kaz yake ni kutunza huo uchafu so jua ina kaz sio kwamba haina kazi
 
Nadhan ushajua kuwa kaz yake ni kutunza huo uchafu so jua ina kaz sio kwamba haina kazi
Hahahahah, appendix kazi yake ni kutunza uchafu??! Mwili wa binadamu una mechanism ya kutunza uchafu bila kuutoa? Yaani kama kibofu cha mkojo kikijaa kiwe kinakatwa?!! 😂😂😂😂👍🏼 , kama hiyo ndiyo kazi yake basi tambua pangekuwa na mechanism ya kuutoa pia, mechanism ambayo haipo! Kazi ya appendix kwa wanyama ambao wanakitumia ni kwa ajili ya digestion, hiyo kujaa uchafuu ni matokeo mabayabtu ya uwepo wake hapo, na ndio maana hata kikiondolewa hupati shida yeyote. Nikuulize, wale wanaoktwa appendix, huo uchafu huwa unaenda wapi? 😂😂😂😂
 
Vestiges ni viungo katika miili ya wanyama ambavyo vinaweza visiwe na kazi katika baadhi ya wanyama lakini vinakuwa na muhimu na ni vya lazima katika miili ya wanyama wengine.

Mfano 'tail bone' / mfupa wa mkia hauna umuhimu wowote katika mwili wa binadamu maana hatuna mikia sisi, lakini tunao mfupa huo; mfupa huo ni lazima na ni muhimu sana kwa wanyama wenye mikia kama ngedere nk. Hii inashiria kwamba hapo awali binadamu tulikuwa ni kiumbe tofauti kabisa kilichokuwa na mkia ila kwa sasa kiungo hicho kimepotea sababu matumizi yake hayapo tena. (If you don't use it, loose it), hii ndio principle inayotumika katika evolution.

Vestiges zipo nyingi sana katika animal kingdom, mfano nyangumi ana mifupa ya miguu iliyojificha ndani japo hana miguu,hii inashiria kwamba hapo awali alikuwa ni mnyama wa ardhini aliyetembea, na tena bado anazaa na kunyonyesha kama wanyama wengine wa ardhini na sio kutaga mayai kama wafanyavyo samaki.
Vestiges ni nyingi sana, tusaidiane kuziorodhesha na kuzichambua vilivyo na kwa undani kabisa.

Sasa binadamu mwenye akili timamu anaweza weza vipi kuamini kwamba binadamu aliumbwa kama alivyo leo hii na mwonekano wake huu wa sasa, yaani hakubadilika kutoka aina moja ya muonekano hadi kufikia huu muonekano wa sasa. Huwa mnatumia mbinu gani kujitoa akili kwa kiwango hicho?! Mbona mi nashindwa kabisa??!!!

=============================
Mfano mwingine ni kifuko cha appendix kwenye utumbo wa binadamu, kwetu hakina kazi lakini kwa wanyama wanaokula mimea huwa wanakihitaji sana hicho kifuko na kinakuwa ni kikubwa sana kwao na huwasaidia kwenye kusaga chakula, hii inaashiria kwamba tulikuwa mnyama mmoja ila kila mmoja akabadilika kulingana na mazingira yake..
=============================

Mfano mwingine ni 'vitendea kazi' vya uzazi kwa mijusi wanaozaa kwa kuji-clone, yaani hawa mijusi huwa wanataga yai ambalo ni clone yao wenyewe na hivyo hawaitaji kujaamiiana ili kuzaa. Sasa kwakuwa bado wana hivi viungo ambavyo vimebaki huwa wanavitumia kama kujiburudisha tu, lakini havina kazi kwa sasa,japo hapo nyuma vilijuwa na kazi.
=============================
_______________________________
Aisee!Ukinionyesha Gorillas walioko kwenye stages mbali mbali za evolution nitaamini kwamba evolution is real.The truth however is,there are none!Let me be sincere,evolution is fake science.True science can be repeated through experimentation, evolution can't.Unajua mkuu,the theory of evolution is a demonic project.Shetani akiwa keen kupotosha wanadamu,he has left no stone unturned to achieve his extremely evil goal of turning humanity away from the true God.Kwa hivyo ni lazima wanadamu tuwe macho.All creation is of God.
 
Mbona hizo stages zipo na zinaonekana kupitia fossils ambazo zimechimbuliwa katika maeneo mbalimbali duniani, au ulitaka nikuonyeshe wakiwa hai? Kumbuka, inachukua mamilioni ya miaka kupata genotypic changes
 
mkuu unamaanisha 2030 utakuwa fisi?
Itategemea na mazingira yalivyo, adaptations hutokea kulingana na mabadiliko ya mazingira, lakini sio 2030, labda mwaka 20,000,0000 tunaweza kuja kuwa magiant kutokana na aina ya ulaji na ulaji wa high nutrient foods na pia kutokana na binadamu kupenda kuzaa na watu warefucealioenda hewani, hivyo kama unavyoona watoto wa siku hizi akiwa na miaka 18 tu anakuwa kama ligiant hivi, haya ndio mabadiliko yanavyotokea kidogo kidogo
 
Vestiges ni viungo katika miili ya wanyama ambavyo vinaweza visiwe na kazi katika baadhi ya wanyama lakini vinakuwa na muhimu na ni vya lazima katika miili ya wanyama wengine.

Mfano 'tail bone' / mfupa wa mkia hauna umuhimu wowote katika mwili wa binadamu maana hatuna mikia sisi, lakini tunao mfupa huo; mfupa huo ni lazima na ni muhimu sana kwa wanyama wenye mikia kama ngedere nk. Hii inashiria kwamba hapo awali binadamu tulikuwa ni kiumbe tofauti kabisa kilichokuwa na mkia ila kwa sasa kiungo hicho kimepotea sababu matumizi yake hayapo tena. (If you don't use it, loose it), hii ndio principle inayotumika katika evolution.

Vestiges zipo nyingi sana katika animal kingdom, mfano nyangumi ana mifupa ya miguu iliyojificha ndani japo hana miguu,hii inashiria kwamba hapo awali alikuwa ni mnyama wa ardhini aliyetembea, na tena bado anazaa na kunyonyesha kama wanyama wengine wa ardhini na sio kutaga mayai kama wafanyavyo samaki.
Vestiges ni nyingi sana, tusaidiane kuziorodhesha na kuzichambua vilivyo na kwa undani kabisa.

Sasa binadamu mwenye akili timamu anaweza weza vipi kuamini kwamba binadamu aliumbwa kama alivyo leo hii na mwonekano wake huu wa sasa, yaani hakubadilika kutoka aina moja ya muonekano hadi kufikia huu muonekano wa sasa. Huwa mnatumia mbinu gani kujitoa akili kwa kiwango hicho?! Mbona mi nashindwa kabisa??!!!

=============================
Mfano mwingine ni kifuko cha appendix kwenye utumbo wa binadamu, kwetu hakina kazi lakini kwa wanyama wanaokula mimea huwa wanakihitaji sana hicho kifuko na kinakuwa ni kikubwa sana kwao na huwasaidia kwenye kusaga chakula, hii inaashiria kwamba tulikuwa mnyama mmoja ila kila mmoja akabadilika kulingana na mazingira yake..
=============================

Mfano mwingine ni 'vitendea kazi' vya uzazi kwa mijusi wanaozaa kwa kuji-clone, yaani hawa mijusi huwa wanataga yai ambalo ni clone yao wenyewe na hivyo hawaitaji kujaamiiana ili kuzaa. Sasa kwakuwa bado wana hivi viungo ambavyo vimebaki huwa wanavitumia kama kujiburudisha tu, lakini havina kazi kwa sasa,japo hapo nyuma vilijuwa na kazi.
=============================
_______________________________
Kwahiyo wewe ni mpagani...?
 
Mbona hizo stages zipo na zinaonekana kupitia fossils ambazo zimechimbuliwa katika maeneo mbalimbali duniani, au ulitaka nikuonyeshe wakiwa hai? Kumbuka, inachukua mamilioni ya miaka kupata genotypic changes
Don't believe anything from archeologists, their crooked numbers and fake drawings,they are meant to deceive.Wapo kwa ajili ya ku-advance the evil agendas of Satan.Nimeshasema true science must be be able to be repeated by experimention,evolution cannot,so it is fake science.It is as simple as that.
 
Kwanini samaki ana macho kama ya binadamu?, na kwanini samaki walioishi chini ya bahari kwenye giza totoro kwa mamilioni ya miaka wamepoteza macho yao lakini vile vishimo vya kushika macho bado vipo kwenye mafuvu yao? What do you call that?
 
Ndivyo Mungu alivyotaka awe.It is as simple as that.
Na hao Samaki wanaoishi kwenye giza totoro deep water na hawana macho lakini mafuvu yao yana matobo (eye sockets) kwa ajili ya kishikilia macho, lakini macho hawana, hayo matobo ya kazi gani?
 
Haya mambo yanatatiza akili sana ila ya ukweli mwingi.

Ushauri wa bure kwa wanaopenda kufikiri mambo kimbadala....wasome kitabu kinaitwa: A brief history of Tomorrow by Yuval Harari (Profesa).
Na hao Samaki wanaoishi kwenye giza totoro deep water na hawana macho lakini mafuvu yao yana matobo (eye sockets) kwa ajili ya kishikilia macho, lakini macho hawana, hayo matobo ya kazi gani?
 
evolution theory...haina nafasi katika mizani ya kielimu achilia mbali akili na utambuzi makini....mbwa aliumbwa akiwa mbwa.....paka,kuku,dagaa n.k...lakini wazungu wanawaingiza mjini kwamba ninyi waafrika ndo mlibadilika kutoka kwenye jamii ya nyani kuwa mlivyo leo....na bila soni mnashangilia...
Mkuu na wewe unaamini kuwa UUMBAJI WA KILA KITU ULIKAMILIKA NDANI YA SIKU 6??
 
To be Honest, NAAMINI UUMBAJI ULITENDEKA na EVOLUTION ilitendeka pia.

SIAMINI KATIKA UUMBAJI KAMA ULIVYOELEZWA KATIKA VITABU VYA DINI na wala SIAMINI KATIKA EVOLUTION KAMA ILIVYOELEZWA KATIKA HISTORIA.

imagine mtu wa kale BILA..
1 Moto
2Nyumba
3Barabara
4Nguo
5 Nyembe
6 Kisu na Sana zingine za chuma
7Mifugo yoyote
8 Chombo chochote Cha usafiri hata mitumbwi bado
9 hakuna hara bara wala miji yoyote
10 hana hata sabuni
Yaani Ni MAN ALONE vs NATURE.

MWANADAMU HAKUWA NYANI lakini ALIKUWA ANAISHI KAMA NYANI
 
Mkuu na wewe unaamini kuwa UUMBAJI WA KILA KITU ULIKAMILIKA NDANI YA SIKU 6??
mkuu kuna kitu unapaswa ukitambue kabla hujaenda.....akili yako ina limitations hauna ruhusa ya kufikiria kwa kiwango unachotaka au ukaitumia kwa kiwango unachotaka.....bali ina ukomo na kiwango cha mwisho..
mfano wewe umezaliwa mwaka 1970 nikikuuliza mwaka 1969 ulikuwa wapi hata ukiumiza kichwa mpaka ufe wala hupati majibu...basi vivyo hivyo mambo ya uumbaji na upangiliaji wa mambo sio kazi yetu kuhoji na kudadisi kwa akili zetu za 0.1 kb storage..

nikirudi kwenye swali lako mambo yote ya ulimwengu huu yametajwa kwa uwazi na mmiliki na muanzilishi wa ulimwengu na si vyema ukamuhoji binadamu au jini wakati na yeye ni katika waliomo ndani ya ulimwengu huohuo.....sasa nakupa majibu ya aliyeumba na kuweka kila kitu katika mpangilio wa sawasawa..

6."sema: bila shaka mimi ni mtu kama nyinyi, ninaletewa ufunuo ya kwamba mungu wenu ni mmoja tu....basi elekeeni kwake na mumtake msamaha, na ole wao wanaofanya ushirikina..."..............
9.sema: ooh! mnamkanusha yule aliyeumba ardhi kwa siku mbili na mnamfanyia washirika?!....huyo ndiye mola wa walimwengu wote..
10. na akaweka humo milima juu yake na akabariki humo na akakadiria humo chakula chake{ cha kuwatosha wakatakaokaa humo} kwa siku nne....haya ni sawa kabisa kwa hao wanaouliza.............
12.Basi akazifanya mbingu saba katika siku mbili na kila uwingu akaufunulia kazi yake...na tumeupamba uwingu wa karibu yenu huu kwa mataa na kuulinda.....huo ndio uwezo wa mwenye nguvu mwenye kujua..
13.Basi kama wakipuuza sema: "nakupeni tahadhari juu ya adhabu mfano wa adhabu ya adi na thamudi...

mpaka mwisho na maneno ni mengi sana na kwa sisi tunaoishi kwa imani juu yake basi utamu na ladha haiishi..

ukitaka ziada nenda kasome mwenyewe quran 41:1-13 ..

shukran..
 
To be Honest, NAAMINI UUMBAJI ULITENDEKA na EVOLUTION ilitendeka pia.

SIAMINI KATIKA UUMBAJI KAMA ULIVYOELEZWA KATIKA VITABU VYA DINI na wala SIAMINI KATIKA EVOLUTION KAMA ILIVYOELEZWA KATIKA HISTORIA.

imagine mtu wa kale BILA..
1 Moto
2Nyumba
3Barabara
4Nguo
5 Nyembe
6 Kisu na Sana zingine za chuma
7Mifugo yoyote
8 Chombo chochote Cha usafiri hata mitumbwi bado
9 hakuna hara bara wala miji yoyote
10 hana hata sabuni
Yaani Ni MAN ALONE vs NATURE.

MWANADAMU HAKUWA NYANI lakini ALIKUWA ANAISHI KAMA NYANI
Kabla hapakuwa na binadamu wala hapakuwa na nyani, bali palikuwa na viumbe ambao walitengana na wakaemda separate ways na waka adapt kulingana na mazingira yao, waliogundua moto na kuvaa nguo wakapoteza manyoya maana hawakuyahitaji ili kupata joto, wengine wakabki nayo, nk nk, ndio tumapata hawa wamekuwa hivi (nyani) na hawa wamekuwa vile binadamu, ila ancestry yetu ni moja, Umeelewa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom