Very good news!

Very good news!

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,701
Reaction score
6,936
Napenda kuwapongeza wamiliki wa magazeti ya Mwananchi, the Citizen kwa kuanzisha digital paper au e-paper. Hili ni jambo jema sana na hasa katika kipindi hiki cha "information age" ambacho kinafanikishwa vizuri na maendeleo ya 'ICTs' especially the Internet!

WanaJF tutumie fursa hii ya kupata habari kwa haraka zaidi ili kuweza kutoa michango yenye 'reliable authority' na pia kuweka citations na source kwenye michango yetu pia tukumbuke copyrights!!

The link is www.thecitizen.co.tz
 
naamini hili ni wazo zuri na itasaidia sana........let us do it 2gether.
Napenda kuwapongeza wamiliki wa magazeti ya Mwananchi, the Citizen kwa kuanzisha digital paper au e-paper. Hili ni jambo jema sana na hasa katika kipindi hiki cha "information age" ambacho kinafanikishwa vizuri na maendeleo ya 'ICTs' especially the Internet!

WanaJF tutumie fursa hii ya kupata habari kwa haraka zaidi ili kuweza kutoa michango yenye 'reliable authority' na pia kuweka citations na source kwenye michango yetu pia tukumbuke copyrights!!

The link is www.thecitizen.co.tz
 
:becky::becky::becky::becky::becky::becky::glasses-nerdy:
 
Back
Top Bottom