Verterinary medicene, biotechnology and agrobusiness | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Verterinary medicene, biotechnology and agrobusiness

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by ze duduz, Aug 12, 2012.

 1. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Wakubwa wana JF Hizo kozi hapo juu zinaisumbua sana akili Yangu.!! Sasa ndugu zangu ningependa kujua kozi ipi? Kati ya hizo hapo juu ni nzuri kuliko nyingine na iko na future nzuri uko mbeleni na ingekuwa vizuri sana kama ungenipangia kwa series na a reason behind please mfano: agrobuzness>verterinary medicene>biotechnology !!
  Ni hayo tu wakubwa

  Natanguliza shukrani zangu...............................
   
 2. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,342
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  koze zote za sua ziko poa
   
 3. k

  king rockie ATL JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ngoja wajuzi waje watujuze wengi tungependa kujua!
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Hivi nyie kwa nini hamuwezi kuchagua kozi nzuri zenye kazi na hela..biotechnology ili uwe nani!
   
 5. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Veterinary nadhan iko poa.i have my bro aliipga hyo k2 pale sua,sa hzi ndo anaetuweka mjini.
   
 6. Michael Paul

  Michael Paul Verified User

  #6
  Aug 12, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 60
  Piga Bsc. in Agricultural Economics and Agribusiness..
  Ina future nzuri in terms za marketability...
  ni koz ambayo utafit sehemu kibao, from kuwa loan officer in (banks) to farm a manager.
  pia course inatoa skills za ujasiriamali sana hivyo kukujengea wigo mpana wa kujiajiri.

  Kwa info zaid about Agribusiness.. Join this Group

   
 7. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #7
  Aug 12, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  Veterinary medicine is the best
  - Uahkika wa ajira ni mkubwa kutokana na uhitaji wa madaktari wa mifugo nchini. Pia vets wanachukuliwa sana katika kufundusha vyuo hata vya medics, research institutes n.k. Pamoja na serikali kujitahidi kuajiri sana vets mwaka 2008-2011, bado nafasi ni nyingi kutokana na hawa watu kuwa na soko katika maeneo tofauti. Ukisoma vet, unaqualify kusoma coz nyingi sana masters. Mshahara wao ni mzuri serikalini maana wanaanzia TGS F, tofauti na wengine wanaoanzia TGS D.
  Tatizo la vet ni kuwa utasoma miaka at least 5,na unaweza kurudia hadi ikawa 7, shule yao imetait sana na ukifika inabidi ukomae sawa na shule. Competition kwa miaka ya karibuni imekuwa kubwa kidogo, nadhani ni kutokana na kuhakikishiwa mkopo au grant ya 100%, lakini pia kutokana na ubora wa coz

  Biotechnology is the second
  Uhakika wa ajira serikalini sio mkubwa sana, ingawa potentially upo juu, kutokana na hawa watu kuhitajika kwenye research na mahosipitalini. Pia wanaajiriwa sana kwenye institutes kama TBS, TFDA, na mkemia mkuu. Ni kozi nyepesi sana, ukikomaa una uhakika wa kuibuka na class nzuri ya degree, hali inayokuweka katika mazingira mazuri sana ya kupata masters na kuwa kumpeititve kwenye ajira.
  Chance ya kupata mkopo hasa kuanzia mwaka huu ni ndogo ila ipo

  Agribusiness is the last
  Kati ya ulizozitaja, hii hapa ni ya kubahatisha zaidi kwenye ajira. Hata hivo kutokana na ubora wa elimu ya SUA, hawa jamaa mtaani wako competitive sana ukifananisha na kozi nyingine za biashara na uchumi toka vyuo vingine. Uzuri wa hii kozi ni kuwa ukibahatisha ajira, mara nyingi inakuwa na jiwe kubwa hasa kwenye sekta binafsi. Uwezukano wa kupata ajira serikalini ni mdogo sana.
  Chance ya kupata mkopo wa kusoma, hasa kwa mwaka huu ni ndogo sanaaaa.
   
 8. majorbuyoya

  majorbuyoya JF-Expert Member

  #8
  Aug 12, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,815
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Mkuu, jamaa Tuko hapo juu ametoa maelezo ambayo hata mimi nadhani yatakusaidia katika kufanya maamuzi yako. Ila kwenye hiyo degree ya Vet ni shughuli mno, pale SUA kuna hao jamaa wa Vet na Agriculture Engineering kitabu chao ni kigumu zaidi ya maelezo lakini ukimaliza salama maisha matamu kitaa.
   
 9. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #9
  Aug 12, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  mkuu vet ni kwere kuna jamaa street alikuwa na wenge mbaya akaenda kupiga hiyo aliivyo rudi kitaa semister ya kwanza alikuwa mnyenyekevu balaa anasalimia kila mtu..
   
 10. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #10
  Aug 12, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  umeona kwenye red mkuu...komaa nako hapo hapo,japo hatujui tcu watakupanga wap...
   
 11. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #11
  Aug 12, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  thanks alot mkuu kwa mawazo...ila hii inaitwa irrigation and water resorces engineering unaipata pata(kuhusu market yake)...na je iko sawa na civil(structural) engineering?? msaada wako mkuu...
   
 12. k

  king rockie ATL JF-Expert Member

  #12
  Aug 12, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mkuu tuko umetusaidia wengi!
   
 13. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #13
  Aug 12, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,192
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  sorry for you. huijui biotechnology wala future yake! kwa taarifa yako, kati ya hizo tatu, biotech ndiyo current steaky career.....
   
 14. HAJI MSANGI

  HAJI MSANGI New Member

  #14
  Aug 12, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmh! hivi agribusiness si imepewa priority katka loan?
  so vip unaposema tena kwamba uwezekano wa kupata loan ni mgumu kuliko biotech na vet?
  Nielewesheni wakuu!
   
 15. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #15
  Aug 12, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Ahsanteni kwa mawazo yenu wakuu !! Hope leo nitalala salama halafu kitu kingine ni kwamba mfano nimechaguliwa agrobuzness lakni mimi ningependa kusomea Verterinary medicene'? Je hapo mlango utakuwa wazi kuhama au sitaweza kukubaliwa kubadilisha kozi?
   
 16. malema 1989

  malema 1989 JF-Expert Member

  #16
  Aug 12, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 848
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  agribusiness mara nyingi applicants wake ni wengi sana ukilinganisha na BVM, kwa hiyo kuhama BVM kwenda agribusiness siyo rahisi hata kidogo! Ila kuhamia BVM tena kutokea agribusiness ni rahisi kama kumsukuma mlevi vile unaweza ukaanza kusoma hata kabla hujaandika barua ya uhamisho kwani inaogopwa sana ingawaje inasoko kubwa sana uraiani wengi wao wanaajiriwa kama maTA hasa kwenye vyuo vya afya katika masomo mtambuka na tafiti za magonjwa ya binadamu. Vile vile wizara husika ya mifugo inawahitaji sana kwenye vituo vyao vya tafiti za magonjwa ya mifugo, na kama madaktari wa mifugo katika maeneo mbalimbali nchini chini ya wizara ya mifugo.
   
 17. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #17
  Aug 12, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  nashukuru sana kwa mawazo yako mkuu !!
   
 18. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #18
  Aug 31, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Mkuu You are among The GREAT THINKER mawazo yako yamenitoa gizani !! Shukran sana Mkuu
   
Loading...