Shikamoo babuTena ukizingatia, samaki haliwi kwa kijiko...
Poa, mambo??Shikamoo babu
Unapenda niachwe eeehNa hili ndilo neno la Mungu....

Mmmmh!! Babuu huu uitikiaji gani sasa!!Poa, mambo??
Haka kamtu nako ni kachocheziiiiii!!!View attachment 420509 Pole sana mkuu RRONDO....ndiyo ukubwa, ndio maisha!!!
Njooni kwangu mliolemewa na mabinti, nami nitawapumzisha asema ODM
Umemuumiza sana mwalimu wangu, give him time, though imani ikishapotea kuirudisha ni ngumu mnoooo.
Ombea na watoto utoe copy lasivyo unalo!!
Yaani siwezi kuja kukuomba ushauri, utaniua kwa presha.Hahahahahahaha ulishaotesha mpapai halafu ukazaa machenza!???
Hii ndiyo njia pekee.
Ufunguo:
- mti wa kushoto - Asprin au Kaizer au Rogie au ....
- mti wa kulia RRONDO.
- mti wa chini (uliopasuliwa) Honey Faith.
![]()
Kwakweli!!Am just being me! hahah
Pele limepatwa na gunzi la muhindi, litakunwa na kusuguliwa hadi lijute kwa nini liliwashaUmemuumiza sana mwalimu wangu, give him time, though imani ikishapotea kuirudisha ni ngumu mnoooo.
Ombea na watoto utoe copy lasivyo unalo!!
Hahaha shikamoo MentorHahahahahahaha ulishaotesha mpapai halafu ukazaa machenza!???
Hii ndiyo njia pekee.
Ufunguo:
- mti wa kushoto - Asprin au Kaizer au Rogie au ....
- mti wa kulia RRONDO.
- mti wa chini (uliopasuliwa) Honey Faith.
![]()
Teh morning. Ujue huu ndo muda wa wewe kuwa karibu na mwalimu wako. Umtie moyo, umfariji, usimuache mpweke, unajua kusalitiwa kunavyouma. Asije akapitiwa na shetani, akaji-murderHahaaaa dota bwana, good morning.
Ok ngoja nisubiriUmemuumiza sana mwalimu wangu, give him time, though imani ikishapotea kuirudisha ni ngumu mnoooo.
Ombea na watoto utoe copy lasivyo unalo!!
Wewe kipe matumaini kizee cha watu.Mie bado naomba msamaha bwana naamini nitasamehewaNa nina amini usiku huu wa leo, Honey Faith atakuwa nawe paradiso!!!
Wewe nae jamani kha!Hahahahahahaha ulishaotesha mpapai halafu ukazaa machenza!???
Hii ndiyo njia pekee.
Ufunguo:
- mti wa kushoto - Asprin au Kaizer au Rogie au ....
- mti wa kulia RRONDO.
- mti wa chini (uliopasuliwa) Honey Faith.
![]()