Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,332
- 176,112
Akuu nimwambie kwani mie nimeubeba moyo wako?Kama nawaona mnavyofurahi mda huu.Hayo ni mapito tu yataisha.Mwambieni basi bae wangu bado nampenda.....
Akuu nimwambie kwani mie nimeubeba moyo wako?Kama nawaona mnavyofurahi mda huu.Hayo ni mapito tu yataisha.Mwambieni basi bae wangu bado nampenda.....
Teh ulivyokuwa unachepuka ulituita tukusaidie. Kalinywe ulilolikorogaKama nawaona mnavyofurahi mda huu.Hayo ni mapito tu yataisha.Mwambieni basi bae wangu bado nampenda.....
Hahahahah naona umefurahi eeeh!Ngoja kwanza hapa nang'ang'ana kuomba msamaha
Itabidi kesho asubuhi niamkie kwa manyau nyau maana hali si haliMuache ausemeeeee, hahahaaaaa!! Manyau nyau anadunda tu.
Aaaaah jamani hadi wewe?Teh ulivyokuwa unachepuka ulituita tukusaidie. Kalinywe ulilolikoroga
Hahahaaaa!! Amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu.Itabidi kesho asubuhi niamkie kwa manyau nyau maana hali si hali
Mie ndo nasupport michepuko? Umepata msukuma kakuganda umezingua, you will know the cityAaaaah jamani hadi wewe?
Hayo yakoHahahaaaa!! Amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu.
Yani city yenyewe hii nitarudi sitimbi kwetu na miscarriage naona itafata soon.Mie ndo nasupport michepuko? Umepata msukuma kakuganda umezingua, you will know the city
Kwakweli acha azisome nyayo, mtu amependwa ye busy kukata viuno, mtoto wa watu akamfanya kama zoba hadi nje anamlaza wakati ye ana list shetani anasubiri.Mie ndo nasupport michepuko? Umepata msukuma kakuganda umezingua, you will know the city

Sio yangu ni maandiko.Hayo yako
Hahaha wasukuma wanajuaga kudondokeagaaKwakweli acha izisome nyayo, mtu amependwa ye busy kukata viuno, mtoto wa watu akamfanya kama zoba hadi nje anamlaza wakati ye ana list shetani anasubiri.
![]()
![]()
Teh unalazimisha msamaha au?Yani city yenyewe hii nitarudi sitimbi kwetu na miscarriage naona itafata soon.
Bae RRONDO please usinifanyie hivyo mie mangapi nimekusamehe jamani?
Yule na manyau nyau alichangia.Hahaha wasukuma wanajuaga kudondokeagaa
Naomba silazimishiTeh unalazimisha msamaha au?
Hebu kalale unanisababishia joto tu mieYule na manyau nyau alichangia.
Umefurahi mwenyewe?haya bwanaHuhuhuuuuuu!!
Sijafurahi kwakweli ulivyomfanyia mwalimu wangu.Hebu kalale unanisababishia joto tu mie
Umefurahi mwenyewe?haya bwana
Mwalimu wako kiaje?Usije ukafanya hasira zikakuishia wewe...Sijafurahi kwakweli ulivyomfanyia mwalimu wangu.
