Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,330
- 176,111
Muulize mwenyewe, huyo ndio ras simba wangu.Mwalimu wako kiaje?Usije ukafanya hasira zikakuishia wewe...![]()
![]()
Muulize mwenyewe, huyo ndio ras simba wangu.Mwalimu wako kiaje?Usije ukafanya hasira zikakuishia wewe...![]()
![]()
Aaaaaah kumbe ndio hivyo eeeh ngoja niunganishe dots.....Muulize mwenyewe, huyo ndio ras simba wangu.
We unganisha tu hata koma ila ulichomfanyia mwalimu wangu mungu anakuona!!Aaaaaah kumbe ndio hivyo eeeh ngoja niunganishe dots.....
Hata nyumbani hajarudi naona leo hali si hali.Akirudi nitamuulizaWe unganisha tu hata koma ila ulichomfanyia mwalimu wangu mungu anakuona!!
Umuulize kama watoto ni wake?Hata nyumbani hajarudi naona leo hali si hali.Akirudi nitamuuliza
Ukiona giza linazidi kuwa nene ujue asubuhi inakaribiaHapana sikutaki![]()
Nimuuluze toka lini akawa mwalimu wako au kuna mambo yanaendelea mnanificha...Umuulize kama watoto ni wake?
trying to be someone else.....Kwa hiyo nimekuwa kama kifurushi jamani kwamba nakuwa napokezana?
Nakuelewa maana wanasemaga adui muombee njaaUnalo!
Hicho kingereza na unajua kabisa nilikimbia umandetrying to be someone else.....
ambapo mwisho wa siku, atoto alinielewa pamoja na tabia zake.....kuruka ruka kwa maharage ndio kuiva kwake
cc Asprin snowhite Honey Faith

Mweeeeh!!ambapo mwisho wa siku, atoto alinielewa pamoja na tabia zake.....kuruka ruka kwa maharage ndio kuiva kwake
cc Asprin snowhite Honey Faith
Kwani mie adui yako??Nakuelewa maana wanasemaga adui muombee njaa
Jamani nimeamini sipendwi na watu hadi wewe?View attachment 420509 Pole sana mkuu RRONDO....ndiyo ukubwa, ndio maisha!!!
Za asubuhi?Kama sio adui niombee basi msamaha kwa mwalimu wakoKwani mie adui yako??
Tena ukizingatia, samaki haliwi kwa kijiko...ambapo mwisho wa siku, atoto alinielewa pamoja na tabia zake.....kuruka ruka kwa maharage ndio kuiva kwake
cc Asprin snowhite Honey Faith
Na hili ndilo neno la Mungu....