Haha naona vikikukosa wewe vinataka kuhamia kwanguHivi vibabu vina nini na wewe dota?
Na ndipo hapo ufalme wa mangiz unapotamalaki!
ah sanaaaa ,mie tena mlionipa kihamba na kunipikisha kitawa japo kwetu chakula kikuu ni ugali na pitiku?sisi sio watu wa mchezo mchezo, naamini umeelewa lol
Aaah wapi suruali mvae na wengine, me ndo nije niwavalishe misuli? Mkwendreeekuna memba mmoja anaitwa Extrovert analalamika vibaya sana kwamba sie wazee tumemchanganya mpenzi wake, sasa we endelea, inaitwa kupatwa kwa vijana wanaodharau wakunga na uzazi ungalipo
Wee sitaki mie,Hutaki pension kama geniveros wewe?
Uzito wangu uko wapi jamani?mbona kumtisha mwenzako?Mkuu Kaizer mzigo mzito kweli kweli, utauweza?
Hapana sikutakiHoney Faith, je utaambatana nami maadamu talaka imetoka?

Kwa hiyo hautaki turudiane hivi hujui nakupendaga bado.Na nina wasiwasi hivi viumbe nivyako.....Endelea tu mkuu.
Uzito wangu uko wapi jamani?mbona kumtisha mwenzako?

Kwani uongo!!Kwa hiyo nimekuwa kama kifurushi jamani kwamba nakuwa napokezana?
Ukweli ni upi?Ngoja nikutafutie mwalimu msigwa akushughulikie maana sina namna yakukabiliana na wewe....Kwani uongo!!
