Verossa

Verossa

Teh morning. Ujue huu ndo muda wa wewe kuwa karibu na mwalimu wako. Umtie moyo, umfariji, usimuache mpweke, unajua kusalitiwa kunavyouma. Asije akapitiwa na shetani, akaji-murder
Mwalimu wangu kipenzi RRONDO uko wapi baba, kwakweli alichokufanyia huyu mwanamke mungu anamuona!!
Kuja unywe juisi upunguze machungu.
 
Sehemu zote hizo hazina vyumba vya kulala wageni wanaotokea Dar wakielekea Dar...
Hahaaaa!! Wageni wanaotoka dar wakielekea dar, wataalamu wa kulala vyumba vya wageni wakati wao ni wenyeji.[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Unampenda eeeh!! Basi you have the funiest way of showing it.
Ukianzaga chingereza chako huwa naamini unakuwa ushaloa kule kwenye via vya utamu. Ana heri mkubwa apitaye njia hiyo. Nami ntamwomba Bwana anijaalie siku moja nipite kwenye njia yako. Amina
 
Back
Top Bottom