Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Wa nini hubby wangu kapumzika mda huu na simu yake ninayo usimchoshe...Cc mwalimu wangu RRONDO
Leo sijakutia machoni

Wa nini hubby wangu kapumzika mda huu na simu yake ninayo usimchoshe...Cc mwalimu wangu RRONDO
Leo sijakutia machoni

Yule mshkaji wangu hawezi kunifanya lolote.Ukweli ni upi?Ngoja nikutafutie mwalimu msigwa akushughulikie maana sina namna yakukabiliana na wewe....![]()
Mie namsabahi tu, nilitaka nimkumbushe akuletee senene.Wa nini hubby wangu kapumzika mda huu na simu yake ninayo usimchoshe...![]()
Twins wangu wamekataa kula waduduMie namsabahi tu, nilitaka nimkumbushe akuletee senene.
Kuna mahali niliona unawaomba.Twins wangu wamekataa kula wadudu
Tabia zangu ni zipi?
Uzito wangu uko wapi jamani?mbona kumtisha mwenzako?
Hahahaaaaaa!!! Manyau nyau kadunda eti!!
Si ulijifanya husikii wala huoni. Leo "umepatwa" eeh, yamekufika hapa. Ngoja akakupulizie tena kwa babu, utarudi tu
Chezea Honey Faith utashangaa kesho ye ndio anaomba msamaha.Si ulijifanya husikii wala huoni. Leo "umepatwa" eeh, yamekufika hapa. Ngoja akakupulizie tena kwa babu, utarudi tu
Ngoja tujionee mambo na vijimamboChezea Honey Faith utashangaa kesho ye ndio anaomba msamaha.
Tabia gani za atoto jamani?
Ooooh baby usinifanyie hivyo jamani hivi sura yangu nitaiweka wapi mie?

Haya basi yaisheNaujua, usitake niseme.
Hahahaaaaaa!! Hapa nilipo nalewa maji.Ooooh baby usinifanyie hivyo jamani hivi sura yangu nitaiweka wapi mie?
Nilikuwa natania tu sweetie wangu jamani please![]()
Kama nawaona mnavyofurahi mda huu.Hayo ni mapito tu yataisha.Mwambieni basi bae wangu bado nampenda.....Hahahaaaaaa!!! Manyau nyau kadunda eti!!
Pole sana mwalimu wangu, mie nilitaka kukufumbua macho ukanigomea eti hata niseme nini hutonielewa, haya chacha!!
Si ulijifanya husikii wala huoni. Leo "umepatwa" eeh, yamekufika hapa. Ngoja akakupulizie tena kwa babu, utarudi tu
Muache ausemeeeee, hahahaaaaa!! Manyau nyau anadunda tu.Haya basi yaishe